Huyu boya wako ni wa aina ya wale watu wasioishi maisha yao, af ndo wale siku ukikaribia kuzaa atakwambia bora operation..
Baadae atakwambia bora ungezaa kawaida mishono haipendezi, au ukizaa kawaida atakwambia nanhii yako kama koliflawa, sasa sijui ujiue ama!!!
Kwa kifupi jipende wewe kwanza, jiangalie wewe upo comfortable na nini..unene mwingi si mzuri na wembamba mwingi si mzuri.,so unafurahi UKIWAJE.
Then kama hayupo okay na ulivo bora kujikacha mapemaaa maana mwisho atakwambia moyo wako unadunda kwasauti uchomoee!!!!
Me in ishuz za hivo.. Swts comes first!!hataki aumbe wake amtakae yeye!!
Maana huyo anaishi maisha ya bongo movies kuangalia nani anafanya nini aige!!!
Tafakari chukua hatua...Love urself na ujiangalie utakuwa happy wapi even after marriage!!
Pole sana ila jamaa ako ANABOAA!
watch out my dear...! mizengwe inaanza hata kabla ya ndoa! sasa akisha kuoa then ukazaa na body morphology ikabadirika kutokana na kuzaa na mambo mengine ya kimaisha na mabadiriko ya mwili for sure atatafuta 'somebody' nje ya ndoa sawa na taste yake! sikutishi lakini fact ndo hiyo!
Akupendae haoni kasoro
Den what should I do
na safari zote hizo mara mwanza mara ..... bado mzito shost
,Asante yaaaan ananichanganya ile mbaya ila I just pray nipate uwezo wa kumuacha na kumsahau coz nakoelekea ntakuwa chiz
hilo ulilosema kwenye kwenye title yako ndo jibu lenyewe!kimbia fasta!Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
Hahahah Suprise mpana we ka pazia la sinema....kwan safari zinapunguza uzito? Ishu ni kuwa napiga menyu kisawasawa , vp mtoto keshaanza kukupiga mateke? mwambie nampenda!!!
Mara nyingi sio zote,umri ni muhimu sana ktk hii kitu,sikui huyo jamaa ana umri gani?unajua hata kama ukiwa mtaalamu vipi wa haya mambo ukifika age fulani mambo mengine unagundua hayana nafasi ktk future,ok bt umejitahidi kumpa kitu roho inapenda kwa kupungua 20kg,duuu HONGERA SANA,hebu cheki...pungua....ahhh umepungua sana nenepa....mhhh,hivi ulivokuwa unapungua alikuwa hakuoni?huyu jamaa sisemi kama hakupendi bt bado hajakomaa,hatofautishi mapenzi ya kutamani na kuishi daima,JE?Ukija kuzaa je watoto 2/3 si ndo nyumba ndogo itakuwa tulizo,jamaa hajui nini anachopenda...tumia na za kwako kama mbayuwayu....Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???
Sijui my dear baby sis. Ila siku akiniona mie na hizi kg 100 atakuja kukunywesha mafuta ya kitimoto ili uwe kama mimi.Nifanyaje nishauri plz
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu tulivyoanza mahusiano akasema nipungue coz marafik zke wote wake zao ni wembamba.Nimehangika sana kutumia madawa na mazoezi kiasi cha kwamba nimepungua kilo 20!!!
Eti sa hv ananiambiwa nimekuwa mwembamba sana mpaka anaona aibu kutoka out na mim,nisaidieni sielew anataka nin???[/QUOT
labda wanampango wa kufungua kampuni ya modeling!! Huyo jamaa yako hajielewi anataka aina gani ya mwanamke, inawezekana alikufata wakati ana heartbroken....
nyie watoto hapa mi mamkubwa kuna kitu nimemiss au? Suprise hebu mueleze mamito nini kinaendelea hapa!
hongera sana mpenzi!penda wewe sana!nilete ubuyu,juice ya miwa?maghimbi,chokletI?au nilete nini!