Simuelew anapenda mwili au mimi!!!

Mbona haeleweki,anapaswa kukubali jinso ulivo labda kushauriana na kupeana mawazo kikawaida kwa uhalisia kama umezid unene ama umezid wembamba lakini sio kukufananisha na mademu wa rafiki zake,huo n ulimbukeni
 
anataka uwe presentable hata akifika sehem akisema huyu ndo wife nin? wana waseme dah fresh jembe hapo umechagua sio kimbau mbau au michelin...
 
Mwambie huna pesa zakujilisha kitu chakufanya ni akuoe akulishe unenepe iliajifaharishe kwa rafiki zake ....lol
 

Mmmmhh kweli mkuu
 

Yaaaan kweli swala la sita anapewa ila simuelew
 

Den what should I do
 
Mi naomba kujua umepunguaje naitaj nami kupungua plz

Nimemtuma asali na mdalasini, pia na juice ya forever, jaribu ni nzuri sana ingawa mi imenisaidia ila bdo work done is=0 haridhiki
 

asali na mdarasini,pia products za forever na mazoezi ya hapa na pale!!! hya hop itakusaidia
 

Nifanyaje nishauri plz
 
In short alitaka ukonde sababu ya marafiki zake wanamcheka, na yeye alitaka nini kwani marafiki ndio wanayekuoa ?

Wewe kama unataka kupungua pungua kwa ajili ya afya yako na sio kumridhisha mtu yoyote.
 

Thank you sana
 
anataka uwe presentable hata akifika sehem akisema huyu ndo wife nin? wana waseme dah fresh jembe hapo umechagua sio kimbau mbau au michelin...

Mmmmhh jaman mi hta sielew!!!!
 
In short alitaka ukonde sababu ya marafiki zake wanamcheka, na yeye alitaka nini kwani marafiki ndio wanayekuoa ?

Wewe kama unataka kupungua pungua kwa ajili ya afya yako na sio kumridhisha mtu yoyote.

Asante sana mkuu
 
Lara 1 kama unataka diet ya kupungua kuanzia kilo 5 kwa wiki mi ninayo, nikupe?
 
Pole my sisy, love is ol about true feelingz en sacrifice which u've alredy shown them 2him. Try 2talk wit him, am sure he'll undrstnd you
 
Mmmmhh jaman mi hta sielew!!!!
ni hivi anataka uwe unonekana fresh ili hata ukitambulishwa kwa rafiki zake yeye mwenyewe aone fresh na rafiki zake wakubali kwamba uko fresh..so usiwe mwembamba kama kimbau mbau au usiwe mnene..kama sanamu la michelin...nafikiri umenisoma
 
Kuna watu na vituko
Huyo jamaa yuko na wewe kwa ajili ya show off au kwa ajili ya mapenzi
Anakupenda wewe ana aupenda the way unavyoonekana mbele za marafiki zake
So marafiki zake wakimuambia una miguu mibaya au macho yako ni mabaya atakuambia ukayabadilishe au ufanyeje
Jiangalie sana na sometime kaa nae umweleweshe kuwa mapenzi ni yenu wawili na hao wanaokutoa kasoro yeye mbona hawamtoi yeye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…