Simuamini mleta chai yeyote

Simuamini mleta chai yeyote

Hi great thinkers Leo nimeingia hotel Fulani kuna boy mmoja akataka kuniletea chai nikamsitisha nikaenda panga foleni mwenyewe watu walistajabu.Mmiliki wa mgahawa akaja kuniuliza kwanini nimekataa.Siku mjibu kwani nikitaa kuletewa chai au chakula nikatafuta mwenyewe kuna shida!
IMG-20171030-WA0061.jpeg
 
Zama Zimebadilika Siyo Kila Homa Ni Malaria Bwana Machafuko Alipoambiwa Hana Malaria Akawa Mkali Sana Kuwa Malaria Yake Anaijua Inaanzia Tumboni
 
Hi great thinkers Leo nimeingia hotel Fulani kuna boy mmoja akataka kuniletea chai nikamsitisha nikaenda panga foleni mwenyewe watu walistajabu.Mmiliki wa mgahawa akaja kuniuliza kwanini nimekataa.Siku mjibu kwani nikitaa kuletewa chai au chakula nikatafuta mwenyewe kuna shida!
Shule zishafunga Mwalim upo town sasa...!!
 
Hi great thinkers Leo nimeingia hotel Fulani kuna boy mmoja akataka kuniletea chai nikamsitisha nikaenda panga foleni mwenyewe watu walistajabu.Mmiliki wa mgahawa akaja kuniuliza kwanini nimekataa.Siku mjibu kwani nikitaa kuletewa chai au chakula nikatafuta mwenyewe kuna shida!

UMASIKINI BWANA ni shida...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom