Simu

Simu

gatty

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
64
Reaction score
13
Simu ndiyo kitunza siri kikubwa katika mapenzi.
 
Kweli simu inaficha mambo mengi
 
Simu ndio kitunza siri kikubwa katika mapenzi

Inaficha au inatunza siri zipi?

Ni nini na wapi chimbuko la siri hizo?

Katika ulimwengu wa artifical intelligence hadi sasa hakuna kifaa chenye uwezo wa kuhifadhi matukio zaidi ya ubongo wa mwanadamu...
 
em chukua like jmn,mana bado sijamwelewa siri na simu wapi na wapi
 
Hahaha. Mungu Ana akili Sana. Ungeweza kuusoma ubongo wa mpenzio sijui ungemcharanga? Day.
kwaresma hii Mungu atakase akili yangu

Back
Top Bottom