Simu zinachangia asilimia ngapi kuvunja mahusiano ya kimapenzi?

Kwa hawa wanawake wa digitali na ana kaa kibarua chake,
Ukitaka mausiano yafe hata ndoa kuvunjika anza kufatilia simu yake aliyoiweka silent, ipo kama haiiti vile kumbe ipo buys kuliko one zero zero.
 
Twaweza katika ubora wake.

Kisha hapo, utaleta doc lenye 500 pages kuwa utafiti umeonesha kuwa 85% wamesema simu zinavunja mahusiano.

10% wamekataa kuwa simu hazina tatizo.

Ila 5% walikuwa hawana majibu /hawajui kama zinaharibu au haziharibu mahusiano.
Hawa wa 5% hata cjui hua wanatoka wap

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
90% cm ndyo kikwazo kikubwa cha kuvunja mahusiano

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kwa hawa wanawake wa digitali na ana kaa kibarua chake,
Ukitaka mausiano yafe hata ndoa kuvunjika anza kufatilia simu yake aliyoiweka silent, ipo kama haiiti vile kumbe ipo buys kuliko one zero zero.
Alaf ndo wanazfcha kama
Zpo kwenywe tait

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kuna watu wengine wana vihere kabisa ... Eti meseji ikiingia tu unaulizwa nani katuma meseji ... Mara kwanini mama yako usimsave jina lake halisi unamsave my lovely ... Kwanini kaka zako na dada zako umewawekea love love emoji ... Jamani wakati huo simu hajanunua yeye kagharamika kakangu au dada kwanini nisimpambe pambe ... Acheni hizo mie binafsi familia yangu kwanza alafu ufuate .. Mtu mwenyewe sina uhakika kama utanivalisha gauni ... Weiiii wengine stress mnajitakiaga wenyewe
 
Mbona mnahangaika hivyo kupekua privacy ya mwenza wako, dawa ipo kwenye toleo jipya za infinix, zina program inaitwa xhide yani hiyo ukiwa na namba ya mtuhumiwa unaiweka huko na kuingia huko mpaka ubonyeze ##1... Na pia hiyo program ukitaka kuingia ni mpaka upige hizo namba and infact kwenye simu hakaonekani halo xhide basi msg zote zinaenda kule, akipiga ina mute tu ila utakuta missed calls na inakua inaita bali no call display ahhhh infinix ni kiboko, hapo unaicha simu hata ukienda job hata whatsap unaficha huko hakuna swala la the suspect..... Wamejaribu kuboresha privacy ya mtu... Technology hii imenisaidia kwa 100% na maisha yanasonga.. Pia mmiliki jifunzr kupenda kuweka mambo privacy utaishi maisha mazuri na yasiyo na vurugu kwenye ndoa
 
Yote hiyo ni love desperate..... Most of the people feels insecure so usishangae
 
Mbona mnahangaika hivyo kupekua privacy ya mwenza wako, dawa ipo kwenye toleo jipya za infinix, zina program inaitwa xhide yani hiyo ukiwa na namba ya mtuhumiwa unaiweka huko na kuingia huko mpaka ubonyeze ##1... Na pia hiyo program ukitaka kuingia ni mpaka upige hizo namba and infact kwenye simu hakaonekani halo xhide basi msg zote zinaenda kule, akipiga ina mute tu ila utakuta missed calls na inakua inaita bali no call display ahhhh infinix ni kiboko, hapo unaicha simu hata ukienda job hata whatsap unaficha huko hakuna swala la the suspect..... Wamejaribu kuboresha privacy ya mtu... Technology hii imenisaidia kwa 100% na maisha yanasonga.. Pia mmiliki jifunzr kupenda kuweka mambo privacy utaishi maisha mazuri na yasiyo na vurugu kwenye ndoa
Nisaidie jinsi ya kuitumia hiyo x hide
 
cc58b544dbf8806e45a61647bd602a9d.jpg

spend less, save more
 
Back
Top Bottom