Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,117
Umesomeka mkuuHakuna na ni free transfer
Umesomeka mkuuHakuna na ni free transfer
Hapo nafkiri kuna kamtihani kidogo, kipindi me naitumia madukan hazikuwepo nakumbuka nilihangaika sana kupata cover mpya, plus screen protector ikawa ya kugushi, sijajua kwa sasa me yangu ilikujaga ibiwa kwenye dala2Vipi kuhusu changamoto za spare?
Ukivitaka hivyo navyo waagiza pia na ni cheaper huko kuliko kuvopata hapa. Unaponunua bidhaa usiwaze mambo ya spare.Ikibuma agiza. Mimi nina mwaka sijapata uharibifu wowoteHapo nafkiri kuna kamtihani kidogo, kipindi me naitumia madukan hazikuwepo nakumbuka nilihangaika sana kupata cover mpya, plus screen protector ikawa ya kugushi, sijajua kwa sasa me yangu ilikujaga ibiwa kwenye dala2
ambie mpaka inafika hapa bongo ni sh ngap kwa pesa yetu?Upatikanaji wake ni mgumu kwa hapao TZ, huwa tunaziagiza, Kwa taratibu za manunuzi ingia kwenye huu uzi: www.bit.ly/101buy4me
View attachment 620657
Pichani ni Xiaomi Redmi Note 4X 16GB na 32GBokey, kwahiyo kaka n
ambie mpaka inafika hapa bongo ni sh ngap kwa pesa yetu?
ZinapatikanaVipi kuhusu changamoto za spare?
https://www.parts4repair.com/xiaomi/
Inshort ni nzuri sanaNdo maana nikaomba waliowahi kuzitumia watupe uzoefu.
Kuna rafk yangu anayo nmeipenda na ndo kazd kunishawishi. Lakn yake ni kubwa zaidi ya ninayotaka kununua
samahani nilikua nauliza kama unaweza ukabadilisha rom kutoka chinese rom kuja global stable rom ambayo ni updatable??ZinapatikanaCode:https://www.parts4repair.com/xiaomi/
naomba unielekeze jinsi ya kufanya installationHizi simu zinatumia MIUI OS,
Hazina Play services /Google Play Store ila kuna jinsi ya kufanyia installation.
Mkuu nina Redmi 5 plus lakini ina chinese rom, naomba kujua namna ya kuinstall google services na/google play store.Hizi simu zinatumia MIUI OS,
Hazina Play services /Google Play Store ila kuna jinsi ya kufanyia installation.
Step 1Mkuu nina Redmi 5 plus lakini ina chinese rom, naomba kujua namna ya kuinstall google services na/google play store.
Mkuu nimefanikiwa, ninakushukru sana.Step 1
1.Nenda kwenye app store
![]()
Step 2
Search kwenye app store neno google then ukisha search shuka chini kwenye hiyo apo ya blue na tap hyo![]()
Step 3
Install hyo app hapo then ikimaliza kuinstall google services zote Play store itakua tayati imeshaingia
![]()
![]()
Ukishindwa kabisa ingia google kwa simu yako the search download playstore apk file
230 nakupa.INAUZWA
Device- XIAOMI MI redime note 4
Ram 3gb
Internal 32gb
Miui 9.5.3.
Fingerprint
Camera mbele 5 MP LED Flash
Camera nyuma 15mp
Global version ina Google play
Battery capacity 4100mah
Bei 300k
Location Dar
View attachment 919630View attachment 919631View attachment 919633View attachment 919634