Simu za Xiaomi

Simu za Xiaomi

Ni Mwaka sasa natumia Xiaomi Mi Max Prime 4GB Ram 128GB Battery 4850. Ipo kama ilivyokuwa siku ya kwanza.Sijutii kuinunua
simu ambazo ni brand za kichina ni nzuri sana, mie nina infinix, camera yake kwanza ina 20mg, ikipiga mpaka unywele inatoa, ina camera bomba sana na iko fast sana, ukiwasha sekunde 5 tayari ishaaccumulate kila kitu kwenye desktop yake
 
Hizi simu zinatumia MIUI OS,
Hazina Play services /Google Play Store ila kuna jinsi ya kufanyia installation.
China ROM ndo haina Play Store. Global ROM ina Play Store.
MIUI is a customized Android ROM developed by Xiaomi for smartphones and tablets.
 
Betri inadumu man, Wakati iPhone zipo less than 3000, na Samsung zinacheza kwenye 3000, Hii inagonga 4850. utatumia mpaka uchoke.

Waweza Chukua Xiaomi Mi Max 2 ,bei ni cheaper kuliko hii Mi Max but battery ni 5300
Hiyo betty 5000+ inauzwaje
 
Mi nina s7 edge nawaza kimnunulia mama mtawala hii kitu vipi kwenye betri ipoje kudumu
Battery ni mwisho wa matatizo. Mimi naweza kuwa kati ya wanadamu wanaotumia simu muda wote toka naamka mpaka nalala. Lakini huwa nachaji usiku ninapolala.Natumia tangu 7am mpaka 2am bila kukoma.
 
Ok other charges kama nikiagiza kitoka nje
 
Inauzwa sh ngap kwa hapa bongo

TB2e5rOy5pnpuFjSZFkXXc4ZpXa_!!197232874.jpg





12 days to avoid interest [to extend the 1 year warranty] Xiaomi / millet red rice Note4X 32G / 64G mobile phone
32G / 64G with fingerprint students


price CHINESE YUAN 999.00 equivalent to 154.88


24:00 before the payment, promised on November 2 served
version

Network Type
  • 4G all Netcomhas been selected
body color
Package Type
  • The official standardis selected
storage
Method of purchase

Quantity
 parts inventory 1554
service
Flower chant stage
The goods can enjoy up to 12 stages of interest-free

what is spent chanting stage
Buy now
 Add to cart

Pledge
Payment 
 
Back
Top Bottom