Non Removable Battery Phone.? Faida na Hasara zake.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
166
Hivi inawezekana ukabadilishs battery pindi battery likianza kuwa dhaifu au kufa kabsa.?

Utaratibu wakubadilisha battery ni mwepesi au mpaka uende center za kampuni zao za simu.?

Kati ya Non Removable Battery na Removable Battery unashauri mtu anunue simu IPI.?
 
Nitakujibu kwa uzoefu wangu,kama kuna kosa nirekebishwe: zinabadilishika,kuna mafundi simu Wana uwezo wa kubadilisha, swali lako la pili ni kwamba simu ambazo ni nonremovable, battery zake zinadumu sana mradi tu ukijua masharti ya utunzaji wa battery,sharti linalowashinda watumiaji wengi wa simu kwenye utunzaji wa battery isife haraka ni "usiangalie video kwenye simu yako ikiwa inachajiwa, battery ya simu yako itafupishwa maisha yake mapema"
 
Zinabadilishika kwani battery zake zipo madukani,kwahiyo hakuna tatizo lolote pia hizi zinadumu sana na chaji kuliko removable tulizozizoeaga.
 
Hivi inawezekana ukabadilishs battery pindi battery likianza kuwa dhaifu au kufa kabsa.?

Utaratibu wakubadilisha battery ni mwepesi au mpaka uende center za kampuni zao za simu.?

Kati ya Non Removable Battery na Removable Battery unashauri mtu anunue simu IPI.?

Non removable battery , ni battery ambayo imeondolewa kasha lake. Battery hizi nyingi zina ujazo mkubwa na size ndogo kwa sababu kuna vitu vimeondolewa kwenye battery yenyewe kama vile control circuit , connector pins na mkebe/kasha lake. Kubadilisha aina hizi za battery inategemea na muundo, pia utahutajika kuifungua simu yako ndani ili kupata access ya battery, na zingine pia zitahitaji kuchomelea/soldering.
 
Nitakujibu kwa uzoefu wangu,kama kuna kosa nirekebishwe: zinabadilishika,kuna mafundi simu Wana uwezo wa kubadilisha, swali lako la pili ni kwamba simu ambazo ni nonremovable, battery zake zinadumu sana mradi tu ukijua masharti ya utunzaji wa battery,sharti linalowashinda watumiaji wengi wa simu kwenye utunzaji wa battery isife haraka ni "usiangalie video kwenye simu yako ikiwa inachajiwa, battery ya simu yako itafupishwa maisha yake mapema"
Umenisaidi katika hili la kuangalia video. Shukrani
 
Nichukue simu ipi kati ya hizi

Inifinix Hot 10 play (270000) vs Nokia G10 (335000) zote ni non removable battery.
G10 haina issue mkuu, angalau Nokia 3.4 ni simu nzuri (300,000) kama unapenda hizo simu.

Baina ya G10 na got 10 play zote zinafanana zina mediatek Helio G25, ukichukua yoyote ni sawa japo Nokia ina advantage ya updates.

Ila kama unataka ushauri wangu achana nazo zote mbili nenda Tigoshop kanunue Redmi 9, version ya 32gb ni 280,000 na 64GB Ni 300,000.ni simu kali kila idara compare na hizo hapo juu.
 
Hivi inawezekana ukabadilishs battery pindi battery likianza kuwa dhaifu au kufa kabsa.?

Utaratibu wakubadilisha battery ni mwepesi au mpaka uende center za kampuni zao za simu.?

Kati ya Non Removable Battery na Removable Battery unashauri mtu anunue simu IPI.?

Betri zinabadilishwa hata iPhone
 
Back
Top Bottom