Kiongz nadhan hii thready siyo ya mabishano,tunajua kuna matoleo meng ya simu za nokia.na kila mmoja ina ubora na uthaman wake.na kila mtu ana mapenz yake.
Umekata Mawasiliano Ghfla...Ulisema Unaenda Stendi Saa Tano Mpka Sasa Kimya....Mimi Ndie Mwenye Namba Ya Voda Inayoishia 32...Kma Imeshindikan sema Muda Muhimu Sanaaa.
Umekata Mawasiliano Ghfla...Ulisema Unaenda Stendi Saa Tano Mpka Sasa Kimya....Mimi Ndie Mwenye Namba Ya Voda Inayoishia 32...Kma Imeshindikan sema Muda Muhimu Sanaaa.
Ndgu,nadhan hunijui,usidhan kila mtu ni tapeli,nyie ndio mnao rudisha maendleo nyuma nakuzushia watu matapel bila sababu,naomba ujitokeze hadharan ni kip nilichokutapel.
Uje na uthbitisho wote.nimemtapel nan tangu nimeanz kufanya biashara hii,na wote walionunua sim kwangu wajitokeze hapa maana nadhan unakurupuka kuwalaghai watu nataka kuwatapel.be careful.ukitaka unifaham vyema njoo utanijua,