ujinga wa simu za mkopo uko hivi:-
-Hawakwambii ukweli unapochukua simu..
-Pesa utakayotoa mwanzoni wanadai hyo ni riba(tuseme umetoa 177,000) siku ya inayofuata unaanza kulipa mkopo ukiSTOP hata one day wanaifunga simu(mf.Onfon)
-Wanakusanya taarifa zote zako wakati unatumia simu kuanzia location,list of apps,the time you use in every app,messages,camera,photo yaan kila kitu inshort they spy on you!!!!!
-Hakuna kuandikishana na hawakupi document yyt ile ya umilki wala inayoonesha utaratibu zaidi wanakupa mdomo(wezi) na wanafanya hivi ili usiweze kuchukua legal steps incase ukija kujua wamekurubuni!(Wameniuzia infinix hot 50 pro plus wakidai nilipe 177 halaf baadae kila mwezi ntakuwa nalipa 93 kwa miezi sita)Kesho yake nataka kulipa naingixa menu naambiwa ntalipa 93 kila mwezi kwa mwaka mzima yaan simu ya 550,000 nilipe 1300000!!!!!!!!Ujinga.
-Ukiwapigia wanakupaki no any help wanajua usipolipa wanaifungia simu kwakuwa wameshainstall device admin app inaitwa adamThink na unapojaribu kuDEACTIVATE inagoma!!!Inshort hawana tofauti na DECI na vile vikampuni vya kitapeli vilivyoibukaga wakat wa nyuma.
-Mimi nimesamehe hyo 177000 waliochukua,kwasabab siwez kulipa juu yake 1131500 kwa miezi 12 nje ya makubaliano ambayo waliniambia ningelipa kama 550000 hv kwa miezi 6!!!Hapo siwez..hii simu kwakuwa wameifungia nitaitunza kama kumbukumbu ya kupigwa!
SIMSHAURI MTU KUKOPA SIMU those guyz are pure thieves!!!!!!