a51 ama a50???nimekubali kua oppo ni machine kunarafiki angu mmoja anaitumia hapa inapiga picha Kali hazina ukungu..ila nimeongeza hela nimedaka Samsung a51 jaman hi simu ni nzuri sana hatakama n ghali
..............Out of topic!Dual apps na second space bado ni vitu muhimu kwanguq
Second space inakuruhusu kuifanya simu yako ijigawe pandey mbili, kila upande utajitegemea kwa kila kitu hata email yako . A kuwe na email Z na B kuwe na email Y...............Out of topic!
Mkuu Kilangi masanja kama hutojali hii kitu “Second space” kwenye Xiaomi inasimama vipi/inatumikaje?nataka hasa kufahamu umuhimu wake kwenye matumizi,nina Redmi Note 5 naona ina-support hii kitu.
Nifafanulie tafadhali.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu imeshatka na 51 usimbishie ingia mtandaoni ojiomee gsma ni baraa mpaka a100 tayar
Jmn mbona mnanisusa jmn naombeni mnijuze na mimi nisiendelee kuwq mshamba
Mkuu hiyo Note 8 ni Sumsung au Tecno?Hapa nawaona ndugu zangu bado mnaile kasumba ya kununua vitu kwa kuzingatia majina na sio specification.
Hio oppo ina tumia chip ya mediatek na mnayafahamu madhaifu ya mediatek, developer wengi hawadil nazo hivo, kuchelewa kupata update au kutokupata kabisa.
Nm12, ndio iliotumika hivyo huwezi ishindanisha na note 8 , Nm11imetumika.
Izingatiwe kadri namba ya Nm inavyozid ku ndogo ndipo ukaaji wa chaji na ufanisi wa kubrowse unavyoongezeka.
Oppo inatumia fast chaja ya ten watt ilhali note 8 inatumia 18watt.
Camera ya oppo ni dhaifu sana kwa hio ya note 8 japo zote ni 48mp.
Bei ya simu pia note 8 ni kuanzia laki tatu na hamsini elfu za Kitanzania na hio sijajua bei ila nahisi ni zaidi ya hapo.
Ir blaster ni kitu muhimu pia.
Hakuna cha ziada kinachoishinda note 8 sema mnanunua bidhaa kwa kufuata mkumbo .
Nope. Samsung wanaweka kwenye S series na Note series pekee.Kama una simu Utajuaje kama ina hii port mkuu mimi nina Samsung A30 vp inayo hiyo kitu
sh. ngapinimekubali kua oppo ni machine kunarafiki angu mmoja anaitumia hapa inapiga picha Kali hazina ukungu..ila nimeongeza hela nimedaka Samsung a51 jaman hi simu ni nzuri sana hatakama n ghali
Oppo ni simu za Maana kabisa. Nimetumia sana, zipi ok kabisaNaombeni ushauri kuhusu hizi simu za OPPO kwa waliowa
Ni nzuri , zinakula bundo izo balaa, pia changamoyo nyingine nyingi zinakuja bila playstore AppNaombeni ushauri kuhusu hizi simu za OPPO kwa waliowa
Shngapi dukan?Mi nina oppo ax5s ya gb 64
Acha wewe toka nimeanza kutumia simu hii ndio simu niliyoikubali
Kila idara ipo fresh
Sent using Jamii Forums mobile app
Shngapi hii dukan?Me natumia OPPO R9M RAM 4G Space 64GB Aisee sijawahi kujuta nilinunua simu nilikuwa nakeleka sana na sms za low space
Sent using Jamii Forums mobile app