Hiyo ni a9 ya 2019Anaesema hiyo OPPO A9 haitumii chip ya Mediatec yuko wapiii???View attachment 1336764
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nimemwekea ya 2020 aone jinsi ilivyo nzuri alafu oppo hata iwe na chipset ya mtk si sidhaifu
Mkuu ni simu nzuri sana na imetengenezwa kwa wanaopenda simu zinazokaa na chaji sana. Battery kubwa la 5000mah na kioo chenye resolution ndogo cha 720p pamoja na processor isiokula chaji sana ya 11nm.samahani wajamen naomben ushauri kidogo Nina Tz sh 600k nahitaji kununua simu ila katika kupita pita nmeona matangazo ya oppo a9 2020 yamenivutia kidogo ..ushaur wenu kwangu hi simu au campun ya oppo n nzuri au niachanenayo. Ina megapixel 48
Sasa nakwambia siyo zote ni mediatek elewa hivoo , Oppo ana simu za aina mbali mbali pia ni kulingana na made in where build ,but most of series come with cpu - snapdragon such as realme , oppo a3s and all made in indian but made in china come with mediatek.View attachment 1336634
Sent using Jamii Forums mobile app
Redmi note 8t na oppo a 9 zmepishana sehem chache sana...ila overall specs oppo a9 inakalisha redmi note 8t
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijakuvutia kweny kitu gani? Hebu ongea kwa factsAaaah weeeee hio simu ipo dukani hapa ninayooo hakuna kitu kilichonivutia na haingiii kwa camera ya redm hata note 8 pro inamtoshaaaa ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nina Oppo mbili Realme2 ina 32gb Ram 2GB na 16GB Ram 2GB ,binafsi namanage kwa mambo yangu yote ... Alafu elewa nina model CP1803 na CP1805 ,, hizi simu ni poa kabisa ... Taka chukia nuna ila mimi siyumbi kwa maneno yako ila ukihitaji simu zenye uimara nunua Oppo ...Ivi Watu mna wezaje kutumia simu yenye storage 16gb
Au ni vile mimi ndo nilisha shindwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app