Godbless mtega
Member
- Sep 15, 2018
- 41
- 24
vipi upande wa picha inapiga vizuri then ina portrait au kawaida
Iko vizuri, inapiga portrait ngoja nikuonyeshevipi upande wa picha inapiga vizuri then ina portrait au kawaida
Fafanua kuhusu portrait kisha ishindanishe na redmi note 8t
Fafanua kuhusu portrait kisha ishindanishe na redmi note 8t
sawa ngoja niichek freshOPPO ipo okay sana.
aah hapo sawa maana portrait ndo habar ya mjini now
Nimeona very take uko pow
duu kabda wew ufafanue kidogo kuhusu hiyo remdi not 8tFafanua kuhusu portrait kisha ishindanishe na redmi note 8t
Umewahi kusafisha picha ulizopiga kwa kutumia hiyo note 8 yako?Hapa nawaona ndugu zangu bado mnaile kasumba ya kununua vitu kwa kuzingatia majina na sio specification.
Hio oppo ina tumia chip ya mediatek na mnayafahamu madhaifu ya mediatek, developer wengi hawadil nazo hivo, kuchelewa kupata update au kutokupata kabisa.
Nm12, ndio iliotumika hivyo huwezi ishindanisha na note 8 , Nm11imetumika.
Izingatiwe kadri namba ya Nm inavyozid ku ndogo ndipo ukaaji wa chaji na ufanisi wa kubrowse unavyoongezeka.
Oppo inatumia fast chaja ya ten watt ilhali note 8 inatumia 18watt.
Camera ya oppo ni dhaifu sana kwa hio ya note 8 japo zote ni 48mp.
Bei ya simu pia note 8 ni kuanzia laki tatu na hamsini elfu za Kitanzania na hio sijajua bei ila nahisi ni zaidi ya hapo.
Ir blaster ni kitu muhimu pia.
Hakuna cha ziada kinachoishinda note 8 sema mnanunua bidhaa kwa kufuata mkumbo .
Fafanua kuhusu portrait kisha ishindanishe na redmi note 8t
Fafanua kwa kina kiongoziRedmi note 8t na oppo a 9 zmepishana sehem chache sana...ila overall specs oppo a9 inakalisha redmi note 8t
Sent using Jamii Forums mobile app
+1Hapa nawaona ndugu zangu bado mnaile kasumba ya kununua vitu kwa kuzingatia majina na sio specification.
Hio oppo ina tumia chip ya mediatek na mnayafahamu madhaifu ya mediatek, developer wengi hawadil nazo hivo, kuchelewa kupata update au kutokupata kabisa.
Nm12, ndio iliotumika hivyo huwezi ishindanisha na note 8 , Nm11imetumika.
Izingatiwe kadri namba ya Nm inavyozid ku ndogo ndipo ukaaji wa chaji na ufanisi wa kubrowse unavyoongezeka.
Oppo inatumia fast chaja ya ten watt ilhali note 8 inatumia 18watt.
Camera ya oppo ni dhaifu sana kwa hio ya note 8 japo zote ni 48mp.
Bei ya simu pia note 8 ni kuanzia laki tatu na hamsini elfu za Kitanzania na hio sijajua bei ila nahisi ni zaidi ya hapo.
Ir blaster ni kitu muhimu pia.
Hakuna cha ziada kinachoishinda note 8 sema mnanunua bidhaa kwa kufuata mkumbo .
Dual apps na second space bado ni vitu muhimu kwanguq+1
Xiaomi ndo simu pekee ya bei rahisi ikiwa na Ir blaster, muhimu Sana hiyo kitu.
OPPO ana simu nzuri ila nyingi ghali Na ukiona zabei nafuu jua Zina mediatek
Sent using Jamii Forums mobile app