mwl. mziray
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 598
- 404
Sio kweli kama ni cover tu. Kwa wale tuliozoea ku-root simu inakuletea kabisa jina halotel na model yake. Ingekuwa issue ni cover ukiroot wasingekuonesha kwamba simu unayoiroot ni halotel.Bado sijaujua ufeki upo wapi ni sawa na kuuziwa NOKIA yenye kava la TECNO.ukituma usitarajie majibu ya TECNO but yatakuja ya NOKIA.
N:B hapo mchawi ni kava tu.
