Simu za aquos

Simu za aquos

Wajuba mbona siku hizi hamuongelei simu za tecno? Mlizitumia sana mkarukia infinix, mkatoka nduki huko na sasa mpo sumsang, kwani iphone si simu bora? Mnaangalia bajeti kubwa au nini?
 
Kuna simu bajeti yake ni ndogo ila ina features nzuri na betri imara, ubora wa picha ni HD. Labda kumiliki simu ya bajeti ndogo ni aibu, watu wanataka u superiority kumiliki simu za gharama kubwa. Sasa mbona simu zipo mpaka za bajeti ya kununua coaster. Ukisema simu yako ni ya gharama kubwa na unaona ufahari kuwa nayo kuna mwingine ataiona simu yako ni takataka/toy tu
 
Kumbe🤣
Ndio ulitaka watu wanunue ma samusangi ya miaka ya 2020. ambayo jata update hayapokei kwa laki tatu ni kupoteza fedha samsung ni ile inayopokea update alafu hizo a series hata samsung wenyewe wanaona aibu kusema samsung😀😀

NIKIKUKUTA NA SAMSUNG USED NITAUMIA SANA
 
Ndio ulitaka watu wanunue ma samusangi ya miaka ya 2020. ambayo jata update hayapokei kwa laki tatu ni kupoteza fedha samsung ni ile inayopokea update alafu hizo a series hata samsung wenyewe wanaona aibu kusema samsung😀😀
Najuaga kila Samsung ni ya moto, kumbe kuna midosho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom