Simu za aquos

Simu za aquos

Achana na simu za bei rahisi, specification za juu, ukipimanisha na bei lazima upate walakini.
Hapo ndo unakutana na brand kama Aquos,Oppo, Infinix nk.
Kama alivyokwambia min -me jichange upate samsung yako.
Ni simu imara na hazina vipengele, tafuta A series moja ya bei unayoiweza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom