Samsung ubora wa chaj hamna ktu wanafeliHata s8 kwenye chaji ni za ovyo sana, nilijuta kuwa nayo
Wakike sim ganiSamsung ni simu za wanaume.
A05 iko sawa
Hazina hata changamoto ya SOFTWARE umenunu US version au KOREAN VERSIONNaongezea SAMSUNG S22utra
Hii simu inachangamoto ya software
Redmi ipi ni nzuri ya toleo la hivi karibuniView attachment 3437827
๐ฏ๏ธ Matumizi ya simu yamekua sehemu moja wapo muhimu kwenye maisha yetu lakini kuna baadhi ya simu ukitumia unajikuta unachukia kwa namna moja au nyingine na kupelekea kujuta kwanini ulinunua hii simu.
๐ List za simu hizo ๐
โ๏ธ LG G3 styuls
โ๏ธ The Nexus 6
โ๏ธ Galaxy Nexus
โ๏ธ Samsung Galaxy A04 & A04e
โ๏ธ Iphone SE 3
โ๏ธ RealMe 14x 5G
โ๏ธ Vivo v30e
โ๏ธ Samsung Galaxy M55
โ๏ธ Redmi A4 5G , Redmi Note 14 Plus
โ๏ธ Google Pixel 5a & 5
โ๏ธ Samsung Galaxy A36 5G
โ๏ธ Samsung Galaxy S25 Edge
โ๏ธ Google Pixel 9 series
๐ฏ๏ธ Simu hizo zinachangamoto kadhaa, kuanzia betri zake hazikai chaji nyingi, software zake zinasumbua update, kamera zake sio nzuri, zinapeleka chaji pole pole, zinapata sana joto , speaker zake sio nzuri nk.
๐บ Kama unahitaji kumiliki simu nzuri basi sio lazima mwaka huu ukamiliki simu hizo unaweza kuachana nazo ๐.
ak simu yoyote ya SamsungView attachment 3437827

Naunga mkono hojaView attachment 3437827

Hapo Mchina aliumiza kichwaSijaona Tecno, itel na Infinix hapo
IPhone na hizo zingine.Wakike sim gani
Hivi kuna brand yoyote inayoizidi Samsung kwa ubora na uimara?mimi bado sijawahi kuona simu ya kunishawishi kuacha kutumia Samsung,yaani ili niwe huru na moyo wangu utulie ni lazima simu yangu iwe Samsung na huwa nikishanunua najua nina uhakika wa kuitumia kwa miaka 3 bila kuharibika.Samsung yoyte kwa sasa siitakit
Kumbe wanalaumu simu ni mbaya kumbe wauzaji ndio wabaya wameichakachua.Hazina hata changamoto ya SOFTWARE umenunu US version au KOREAN VERSION
then wakaforce kupiga FILE lazima upambane na hali yako
kilichopo nunua SIMU mpya ya kawaida kama hauna pesa ya kununua simu kubwa
utaenjoy sana maisha ukiacha TABIA ya kununua simu USED ambazo wauzaji wake sio waaminifu ni makanjanja
kuanzia yule KANJANJA mkuu anaitwa
ZAHOR MATEREPHONE kwa yuke jamaa
simu zisizokuwa na majina zake ziko vinzuri
ila SAMSUNG lazima ulie tu baada ya muda na wala hana msaada utajua mwenyewe