Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 213
Kwa kulinganisha na Nokia ipi??
Nokia ya tochi mkuu
Kwa kulinganisha na Nokia ipi??
Kila mtu atavutia kwake kwani mm naamini BlackBerry ndio ina kasi zaidi, na hata ukifika porini au sehemu hakuna minara ya mawasiliano ya simu za Kampuni zetu hapa Bongo, B/B wao wapo hewani tu kwani wanatumia Satelite,
Tofauti yao ni kuwa huwezi kuweka vocha za makampuni ya simu na ukapata Internet hata kwa kuchakachua (eti unaweka 450/= unapata facebook BB huwezi)
na ni kweli 3G refers to the third generation of developments in wireless technology, especially mobile communications.
Touch Screen umeshaeleza hapo juu siku hizi simu nyingi km Nokia, Sumsung, Google zipo za kugusa screen
kidogo nishangae makwawa atoe ushauri wa simu zaidi ya nokia ingekuwa maajabu..

Nokia sasa ndio wanaharibu ... niliwapenda zamani lakini inaonekana hizi samsung,sony etc zimeanza kuipundua nokia nilianza kuwachukia toka waanze kutoa c series walijitahidi sana enzi za N SERIES DAH hapo niliwanyoshea kidole whatever u do brah click ESC to buy nokia product asa hizi asha zenye symbiab os ambazo vodawananadi ...... buy it /// but dah mi naona zinafaa mwanamke coz its good for chatting only.... je wanaaiga bbm..oops
Trust me, hakuna 3g Tanzania. Hata kama zitajiandika hivyo.
Usifananishe simu ambazo hazina hadhi moja hizo samsung galaxy na sony ericson xperia hazifananishiki na c series wala asha series maana ni level tofauti.
Asha series ni simu zisizofika laki 2 na zimetengenezwa kwa matumizi madogo madogo na hizo galaxy na xperia ni simu za zaidi ya laki 4 ambazo ni modern smartphone zenye technologia ya kisasa.
Kama utataka fananisha nokia na samsung better tafuta worthy mobile kama lumia 900, nokia 808 na n9.
Kumbuka pia dont under estimate asha series japo ni java na za bei rahisi ila now ina application karibia zote za blackberry na imezinduliwa na app 25,000
tafuta sonyericson experia toleo lolote zpo vizuri kwnye iternet,kuhusu speed inadepend bt mimi huwa napenda kutumia airtel,sio sababu ya unafuu tu ila hata upatikanaji wa 3G ni mkubwa katika mikoa mingi ukilinganisha na voda au tigo,also wana 3.75G.
Jamani ni kweli kabisa bb zinaendeshwa na satellite za kampuni iliyozitengenezwa inayoitwa RESEARCH IN MOTION(RIM)nchini canada .thats why zikapigwa marufuku huko bara arabu kwa tetesi zinavujisha siri.Na kuna kipindi fulani BB zote zilizimwa kwa muda mfupi nchini kenya cjui walikuwa wanataka kufanya nini.na hawa RIM wanaweza kuzuia BB zote zisifanye kazi.
kaka kwa mm naona voda ndo wana 3g mikoan kuliko airtell., airtel 3g ipo kwenye majiji tu
Voda 3G hadi huku mabwepende inashika!!