devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 266
- 373
Wakuu mafundi na wana teknolojia ya simu nisaidien hili simu yangu ndogo ya Nokia ina sauti ndogo ya kusikiliza .
Hata kama nikiongeza mpaka mwisho napo sauti ni ndogo hadi niweke loudspeaker ndo nasikia vizuri ...nimejaribu kuuliza kwa mafundi wamesema Nokia ndio zilivyo zina sauti ndogo .
Wakuu nini suluhisho la hii simu ingali bado naipenda.