Simu yangu Tecno L8 haijai haraka, msaada tafadhali

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,842
Ka kilongalonga kangu ka L8 tecno kameugua ugonjwa wa kutojaa haraka asee, waweza chaji kwa masaa zaidi ya nane na kasijae, nimebadili chaja zaidi ya tatu, lakini tatizo lingalipo.
Wajuvu wa haya mambo, naomba tusaidiane

Nting'irawanyuma

nenda playstore dowbload app inayoitwa ampere.

ukiwa unachaji simu fungua hio app then angalia ni kiasi gani kinaingia. ukiona ni chini ya 1000mA ujue chaja sio nzuri.

chaja ya kichina nzuri kanunue oraimo ya 2Amps inauzwa 8000 aggrey.

Nimefurahi Sana kupata haya majibu ya Chief Mkwawa

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app

Hilo tatizo nilikuwa nalo kweny Tecno J8 nimebadili usb natumia ya kichina. Sshivi n chaji masaa mawili t inajaa

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app

nenda playstore dowbload app inayoitwa ampere.

ukiwa unachaji simu fungua hio app then angalia ni kiasi gani kinaingia. ukiona ni chini ya 1000mA ujue chaja sio nzuri.

chaja ya kichina nzuri kanunue oraimo ya 2Amps inauzwa 8000 aggrey.
Ahsante chief

Nting'irawanyuma

Ka kilongalonga kangu ka L8 tecno kameugua ugonjwa wa kutojaa haraka asee, waweza chaji kwa masaa zaidi ya nane na kasijae, nimebadili chaja zaidi ya tatu, lakini tatizo lingalipo.
Wajuvu wa haya mambo, naomba tusaidiane

Nting'irawanyuma
Ilo tatizo, ni chaja system imekufa na sio betri. Wanatengeza dakika ziro

Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, jana nimenunua simu ya TECNO L8 Lite.

Lkn kwa uharaka niliokuwa nao nikasahu kuuliza namna ya kufungua mfuniko wa nyuma kwa ajiri ya kuweka line.

Najua hapa wataalamu mpo simu imenishinda kufungua kabisa, naombeni ujuzi huo
0ff4249d22c6e38186f3d4d681487778.jpg

Hilo tatizo nilikuwa nalo kweny Tecno J8 nimebadili usb natumia ya kichina. Sshivi n chaji masaa mawili t inajaa

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Kwani mwanzo ilikua inatumia masaa mangap kujaa?!

nenda playstore dowbload app inayoitwa ampere.

ukiwa unachaji simu fungua hio app then angalia ni kiasi gani kinaingia. ukiona ni chini ya 1000mA ujue chaja sio nzuri.

chaja ya kichina nzuri kanunue oraimo ya 2Amps inauzwa 8000 aggrey.
Mkuu chaja nzuri ntumie kwenye simu ijae haraka(ambay ntaipata Tz hpahapa na sio ya kuagiza) Simu yangu ina fast charging.

fast charging zipo nyingi ni ipi? ipo ya qualcomm, mediatek, exynos, oppo, etc

pia 2A charger na fast charging ni karibia zinafanana kwenye kueka chaji sema fast charging asilimia za mwanzo inajaza upesi upesi then kwenye kumalizia inapunguza speed.

Ningeomba unitajie za Qualcomm na mediatek maana kwa sasa nina Phantom 6+ na LG.

Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, jana nimenunua simu ya TECNO L8 Lite.

Lkn kwa uharaka niliokuwa nao nikasahu kuuliza namna ya kufungua mfuniko wa nyuma kwa ajiri ya kuweka line.

Najua hapa wataalamu mpo simu imenishinda kufungua kabisa, naombeni ujuzi huo
0ff4249d22c6e38186f3d4d681487778.jpg
chini hapo kwenye kitako nyuma hakuna kiupenyo cha kuuvuta huo mfuniko?

fast charging zipo nyingi ni ipi? ipo ya qualcomm, mediatek, exynos, oppo, etc

pia 2A charger na fast charging ni karibia zinafanana kwenye kueka chaji sema fast charging asilimia za mwanzo inajaza upesi upesi then kwenye kumalizia inapunguza speed.
Pia hzo 2A charger ni kama zipi (majina) na bei ikoje?

Ningeomba unitajie za Qualcomm na mediatek maana kwa sasa nina Phantom 6+ na LG.
ni lg ipi mkuu?

kwa hio phantom ushauri wangu tumia hio 2A charger, sababu ni adimu sana kuzipata fast charging, ila kama still utazitafuta kuna simu zinazotumia mediatek helio x20 kama hio phantom kama vile
-xiaomi redmi note 4 mediatek version
-meizu 6 series kama pro 6,

ukipata charger zake zitakubali.

LG G3.

So nikienda tu dukani niulizie 2A charger?!, au zina majina kabisa I mean models mbalimbali...

bei halisi ni shilingi 8000 watakuanzia juu kama 12,000 hivi so washushe.

kwenye lg g3 nafkiri charger za galaxy s5 zinaingiliana maana zilitumia soc moja, za s5 fast charging zipo nyingi sana ni vidogo vina meno mawili na juu vimeandikwa adaptive fast charging.

Similar Discussions

Back
Top Bottom