1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,969
- 13,848
Ungetaja aina ya simu na model yake.Habari wakuu,
Naomba mnisaidie kutatua hili kama linatatulika. Nina simu yangu model ya zamani kidogo inagoma kupakua baadhi ya app naambiwa 'your device isn't compatible with this version'
Nawezaje kutatua hili tatizo?
Nimejaribu kufanya software update (katika kuhangaika kutafuta solution maana mimi si mtaalamu) nikaambiwa simu yangu iko modified siwezi kufanya hivyo.
Kwa kifupi simu yangu ilikuwa ipo locked (haisomi line yoyote) nilipeleka kwa fundi ikarekebishwa.
Msaada tafadhali