Kiranga komooooooo.........................
Ndo ujue kwa nini wife anaificha ficha simu yake na hataki uione. Nawe ilibidi uiogope kama ukoma kuepusha ajali kama hizo ona sasa utapungua kilo bila kupenda.
Ushauri: Nenda nae na umuulize taratibu na kiustaarabu kama unakunywa mipombe hakikisha haugusii hili suala ukiwa umelewa mana utakuwa unauliza huku unaogopa ogopa
BT: KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI.
Wala hujakosea...alafu bad enough anaweza jua kuwa anamkomoa mkewe kumbe kajichimbia kaburi
Jadoki kama jina la kiomera hivi? Mkuu kauli yako imeniogopesha,kwamba nipende nisipende ntaoa tu! Una maana gani?
au kamsevia shoga yake asiye na simu..................tehe tehe tehe tehe tehe
Wana JF leo nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo ukizingatia huificha kibindoni kila dakika, leo alipotea timing hivyo aliiwacha katika kochi sebuleni, kilicho nishtua ni vibration hamadi nikaitia mkononi kuangalia nikakuta jina linaloita limeseviwa "mmewangu".
Hakika nguvu zimeniishia jina hilo lilikuwa na namba 0718 178 87(.)/KTK PEKUA PEKUWA ILISOMEKA KAMA NDG OMARY, A HAKIKA SIELEWI
NIFANYEJE MPAKA MUDA HUU! TOTAL COMFUSED, SO WHAT SHOULD I DO?
labda binamu yake?, usikurupuke ndugu wakati mwingine wana pima imani zenu?Wana JF leo nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo ukizingatia huificha kibindoni kila dakika, leo alipotea timing hivyo aliiwacha katika kochi sebuleni, kilicho nishtua ni vibration hamadi nikaitia mkononi kuangalia nikakuta jina linaloita limeseviwa "mmewangu".
Hakika nguvu zimeniishia jina hilo lilikuwa na namba 0718 178 87(.)/KTK PEKUA PEKUWA ILISOMEKA KAMA NDG OMARY, A HAKIKA SIELEWI
NIFANYEJE MPAKA MUDA HUU! TOTAL COMFUSED, SO WHAT SHOULD I DO?
Mkuu ni mkeo umefunga nae ndoa au ndo hivo kimjini mjini, kama ni kimjini I got nothn to say but kama ni wife wa ndoa basi fuatilia kimyakimya tena bila hata kumwambia mkeo mpaka ukishapata uhakika then it will b ur choiceWana JF leo nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo ukizingatia huificha kibindoni kila dakika, leo alipotea timing hivyo aliiwacha katika kochi sebuleni, kilicho nishtua ni vibration hamadi nikaitia mkononi kuangalia nikakuta jina linaloita limeseviwa "mmewangu".
Hakika nguvu zimeniishia jina hilo lilikuwa na namba 0718 178 87(.)/KTK PEKUA PEKUWA ILISOMEKA KAMA NDG OMARY, A HAKIKA SIELEWI
NIFANYEJE MPAKA MUDA HUU! TOTAL COMFUSED, SO WHAT SHOULD I DO?
ukome kupekua simu ya mwenzio.... kwa hiyo umetoa wapi guvu za kuandika uzi ? nataka kuamini wewe unashida kitandani au mbahili au mchoyo au unakibamia ndiyo maana ujachukua hatua mpaka sasa kwa kuwa anakufichia siri
Ana nn? Acha bas
inasaidia kujua kama kilichompeleka ni genye tu au ndio kesha fall jumla jumla....
Si unaona hapa tunapata shida kumtuliza mleta thread kwa kuwa mamaa ametumia neno zito 'mume wangu'...
Wana JF leo nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo ukizingatia huificha kibindoni kila dakika, leo alipotea timing hivyo aliiwacha katika kochi sebuleni, kilicho nishtua ni vibration hamadi nikaitia mkononi kuangalia nikakuta jina linaloita limeseviwa "mmewangu".
Hakika nguvu zimeniishia jina hilo lilikuwa na namba 0718 178 87(.)/KTK PEKUA PEKUWA ILISOMEKA KAMA NDG OMARY, A HAKIKA SIELEWI
NIFANYEJE MPAKA MUDA HUU! TOTAL COMFUSED, SO WHAT SHOULD I DO?
Hata mimi ilikuwa hivyo,/let keep waiting! pia omba mungu shetani asiingilie / hakuna anayetarajia upuuzi huu /walishaandikwa ktk vitabu ni weak creature/ref~ adam&eve bro!Huenda mimi mgeni nina miaka mitatu ya ndoa simu yangu ya mke wangu ipo free mdaa wote kuna watu hua wakisimulia wanavyoishi na wake zao hua nashangaa saana wewe mke wako anaficha simu unaonaa tuu unaweza kua stipid....
Tangu siku nilipofunga ndoa sisi ji mwili mmoja hakuna kufichana chochote mimi naoga na mke wangu nakula nae natoka nae out simu yangu kwake free anacheza game kama hana salio anatumia simu yangu kama sina natumia yake ...
mkewe anamfichia siri kubwa labda ana kibamia
Wewe chaga wewe
namtobe