Simu ya wife

Simu ya wife

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,091
Wana JF leo nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo ukizingatia huificha kibindoni kila dakika, leo alipotea timing hivyo aliiwacha katika kochi sebuleni, kilicho nishtua ni vibration hamadi nikaitia mkononi kuangalia nikakuta jina linaloita limeseviwa "mmewangu".

Hakika nguvu zimeniishia jina hilo lilikuwa na namba 0718 178 87(.)/KTK PEKUA PEKUWA ILISOMEKA KAMA NDG OMARY, A HAKIKA SIELEWI

NIFANYEJE MPAKA MUDA HUU! TOTAL COMFUSED, SO WHAT SHOULD I DO?
 
kAKA hayo mambo ya mapenzi hayanaga ushauri maana wakati mnaanzana huwa hakuna kuomba ushauri. Cha muhimu we fanya akili yako inavokutuma. Hakuna formula katika hizo vitu. POle sana mkuu lakini kawaida tu kwa siku hizi
 
Tangaza kipigo mpaka akupe ushirikiano. Hawa wanawake sijui ni kitu gani kimwaingia kwenye sehemu zao? Kukagua simu ya mkeo ni muhimu sana. Hasa kwa timing kama ulivyofanya. SAFI SANA BROTHER
 
Kiranga komooooooo.........................
Ndo ujue kwa nini wife anaificha ficha simu yake na hataki uione. Nawe ilibidi uiogope kama ukoma kuepusha ajali kama hizo ona sasa utapungua kilo bila kupenda.
Ushauri: Nenda nae na umuulize taratibu na kiustaarabu kama unakunywa mipombe hakikisha haugusii hili suala ukiwa umelewa mana utakuwa unauliza huku unaogopa ogopa
BT: KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI.
 
Usimwambie kitu ila endelea kufuatilia huku na wewe ukiendelea kuwa mwaminifu kwa ndo.. Usione makosa yake wakati na ww ndo yale yale.. Kumbuka mambo mengine huwa adhabu za mola wetu.. Fanya subra uchukue maamuzi maalum yawezekana huyo akawa babu yake
 
Labda ndio jina la huyo ndugu la utani bwana. Relax ufurahie maisha. Na weww ficha simu yako ili ufurahu
 
ukome kupekua simu ya mwenzio.... kwa hiyo umetoa wapi guvu za kuandika uzi ? nataka kuamini wewe unashida kitandani au mbahili au mchoyo au unakibamia ndiyo maana ujachukua hatua mpaka sasa kwa kuwa anakufichia siri
 
Sasa ushahidi ulikuwa nao mkononi, unakuja kuuliza JF badala ya kumuuliza muhusika?? Naona kama uwezo wako wa kusolve matatizo ni mdogo sana na kama mkeo kakugundua hivyo hakika umekwishaa.....!!

mkewe anamfichia siri kubwa labda ana kibamia
 
Kiranga komooooooo.........................
Ndo ujue kwa nini wife anaificha ficha simu yake na hataki uione. Nawe ilibidi uiogope kama ukoma kuepusha ajali kama hizo ona sasa utapungua kilo bila kupenda.
Ushauri: Nenda nae na umuulize taratibu na kiustaarabu kama unakunywa mipombe hakikisha haugusii hili suala ukiwa umelewa mana utakuwa unauliza huku unaogopa ogopa
BT: KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI.
Ushauri mwingine ni wazi kabisa huna akili ama we ni -----!
Atapokuletea ukimwi ndo utasema upuuzi kama huo!
 
ukute Omary A. Hakika naye kaoa.

Ila Ommy liko kimahaba zaidi kuliko la mtoa mada.

Labda ndio jina la huyo ndugu la utani bwana. Relax ufurahie maisha. Na weww ficha simu yako ili ufurahu
 
Hiv unazo akili Kweli Wewe? Nilitegemea kusikia unaandaa watu wapeleke msiba kwao au yupo muhimbili? We hamnazo ok Kale viroba utapata akili.
 
Umeuliza wana uhusiano gani?acha mawenge tulizana.
Wewe una namba ngapi za wanawake kwenye simu yako?
Nenda polepole uongo utajitenga tu na ukweli utaonekana..
Relax
 
Ni mchepuko. You are in real turmoil. Hundred of couple have experienced that tragedy. It is such a difficult moment to believe and accept. Stand up and be strong.Get cool. Talk and conclude.
 
Wanawake wanatabia ya kuitana ''dear'' na wanawake wenzao. Huenda huyo Ommy A ni demu mwenzie. Tuliza munkari kijana!
 
Back
Top Bottom