Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,380
- 2,042
mapenzi ya siku hizi bila kugombana hayana stim,
pia ni ruhusa kushikana ila si kushikiana simu.
Hukufanya jambo jema kudivert namba yake kila mtu huhitaji privacy si lazima privacy iwe kwa ajili ya kucheat kuna mambo ya kifamilia zaidi.
mkuu hayajakukuta nn
yani kama chake changu na changu chake how cme niiogope sim yake?