hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 829
- 328
Ndugu, ya nini kuhangaika na mambo ya mpenzi wako? Wewe hangaika na kutafuta Fedha tu. Fedha zikusumbue, na mwanamke pia akusumbue? Angriiiiiii!
Kinachotakiwa ujiepushe na kumfuatilia fuatilia na kuliza uliza maswali, utaepusha mengi.
Ukimuona ana simu hata 3, au ana namba ambayo wewe huijui usimuulize kitu, wewe zingatia tu jinsi anavyotimiza majukumu yake katika penzi lenu.
umeongea kitu cha maana sana mkuu.