Simu ya siri

mapenzi ya siku hizi bila kugombana hayana stim,
pia ni ruhusa kushikana ila si kushikiana simu.


Hukufanya jambo jema kudivert namba yake kila mtu huhitaji privacy si lazima privacy iwe kwa ajili ya kucheat kuna mambo ya kifamilia zaidi.

mkuu hayajakukuta nn
yani kama chake changu na changu chake how cme niiogope sim yake?
 
mapenzi ya siku hizi bila kugombana yanakuwa hayana stimu/
pia ruksa kushikana sio kushikiana simu/
 
Kama hajawa mkeo lazma kuna mambo ya kifamilia ambayo haya kuhusu. By the way angedivert yako ungefanya je
 
[BorQUOTE=miss chagga;10908531]Ha ha ha acha kuchokonoa simu za mwenzio.utakufa na presha wewe[/QUOTE]
bora presure kuliko ukimwi
 
Unaweza ukachunga mbuzi au kuku soi mwanamke achana na hiyo michongo fanya mambo ya maendeleo
 
Habari wana ukumbi, naomba tupeane mawazo na ushauri juu ya hili, simu ya mpenzi nimeidivert na call recordings akashtuka sasa majuzi nimebamba na simu nyengine na line nyengine ambayo hutumika mimi nikiwa sipo, anasema ni ya mazingumzo ya siri kati yake na familia yake. Tupeane ushauri mimi limeniumiza kichwa
Nini ndugu yangu kuhangaika na malaya huyo! Piga chini tu, atakuuwa huyo.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Back
Top Bottom