Simu ya Samsung kama Remote ya Tv.

Simu ya Samsung kama Remote ya Tv.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Wataalam

Nimejuzwa na wadau leo kwamba simu aina ya Samsung inaweza kuzima au kuwasha Tv aina ya Samsung.

Hata hivyo mdau hakuniambia kama ni Samsung smartphone au aina zote.

Binafsi natumia Samsung, lakini sijajaribu, aidha sijajua jinsi inavyofanyika.
Kuna mdau aliyepata kusikia hii teknolojia atujuze?
 
Sijawahi kujaribu lakini unatakiwa udownload program ya remote control kisha install kwenye simu.
 
Well,
Asante mdau...kwa maana hiyo ni smartphones ndio zina uwezo wa kazi hiyo.
Naamini wadau wengine watafika hapa kuchangia zaidi.
 
Wataalam

Nimejuzwa na wadau leo kwamba simu aina ya Samsung inaweza kuzima au kuwasha Tv aina ya Samsung.

Hata hivyo mdau hakuniambia kama ni Samsung smartphone au aina zote.

Binafsi natumia Samsung, lakini sijajaribu, aidha sijajua jinsi inavyofanyika.
Kuna mdau aliyepata kusikia hii teknolojia atujuze?

Sio simu zote can be used as a TV Remote, simu yenye infrared port a.k.a IR Blaster most of the times can be used kama TV remote as long as you have the necessary drivers and applications. Mfano Nokia N900, Samsung Galaxy S4, HTC One etc
 
Mi nljaribu juzi kwny Samsung Galaxy S4 ina uwezo wa kutumia kama remote kwny tv na dvd player aina zote.
 
So far ambazo nimetumia kama remote za dvd tv na dvd ni galaxy note 3 na galaxy s4. Brand nyingine sijajaribu. (Lakini naamini inawezekana as long as ni smartphone yenye IR) Unachotakiwa kufanya ni kuinstall application yake n iliyo nxuri ni smart tv remote. NB, ziko application nyingine ni universal ambazo waweza kutumia kwenye tv na dvd na hata ac yoyote ila zinatumia wifi
 
Well,
Asante mdau...kwa maana hiyo ni smartphones ndio zina uwezo wa kazi hiyo.
Naamini wadau wengine watafika hapa kuchangia zaidi.

uploadfromtaptalk1391922088893.jpg

Ninaitumia kwa Alba tv na Hitach tv,inafanyakazi vizuri sana. Hakikisha divice zako ziwe orignal.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Nimefanikiwa kuinstall kwenye Samsung Mega lakini naona kama ina complications kibao....mara idai ip address, nimekata tamaa.
All in all sijui kama samsung mega inasupport hiyo app.
 
So far ambazo nimetumia kama remote za dvd tv na dvd ni galaxy note 2, 3 na galaxy s4. Matoleo mengine sijajaribu. (Lakini naamini inawezekana as long as ni smartphone) Unachotakiwa kufanya ni kuinstall application yake n iliyo nxuri ni smart tv remote. NB, ziko application nyingine ni universal ambazo waweza kutumia kwenye tv na dvd na hata ac yoyote ila zinatumia wifi

Kwenye Nyekundu hapo sio kweli na haiwezekani.
 
Wataalam

Nimejuzwa na wadau leo kwamba simu aina ya Samsung inaweza kuzima au kuwasha Tv aina ya Samsung.

Hata hivyo mdau hakuniambia kama ni Samsung smartphone au aina zote.

Binafsi natumia Samsung, lakini sijajaribu, aidha sijajua jinsi inavyofanyika.
Kuna mdau aliyepata kusikia hii teknolojia atujuze?

Sio simu za Samsung tu mkuu, simu yoyote yenye infrared ina uwezo wa ku control TV au DVD player. Ili uweze kutumia simu yako mana remote control lazima uwe na app maalumu ambayo itakuwezesha wewe kuweza kuitumia simu yako kama remote control. Baadhi ya brand za simu kama samsung wao wana apps zao ambazo zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya matumizi ya remote control.

Kwa wale wenye simu za samsung galaxy s4 unaweza kupakua hii app HAPA

Kabla ya kuanza ku waste your bandwidth kwa kufanya majaribio ya aops mbali mbali za remote control nashauri kwanza usome specification za simu yako ili uhakikishe kama simu yako ina infrared au la ndipo uendelee na hatua inayofuata.
 
Inaitwaje hivyo software. Pls naombeni address take bas

Zipo aina nyingi ninayotumia mimi ni Smart IR remote hii hapa

www74.zippyshare.com/v/8809742/file.html

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Kwenye Samsung S4 mini inafanya vizuri kwa kutumia built in application ya watch on.Inaweza ku control DVD,TV na hata receiver.
 
Kwa hiyo nikiwa na hiyo smartphone hata nikiwa choon kitu kinajizima
 
Back
Top Bottom