Simu ya mkononi yaleta aibu

Simu ya mkononi yaleta aibu

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
216
Reaction score
47
Juzi kati Dada mmoja ameaibika mbele ya wakwe zake, kisa meseji ya mapenzi kaikuta kwenye simu ya mme wake, kisa kamili jamaa baada ya kushtukia mke wake huwa anakagua simu yake akiiacha na hukagua kwa kificho jamaa asijue, jamaa akaamua kujitumia msg, kwenye simu yake ili kujiridhisha na mchezo wa mkewe, Msg"" hny ur so swt , U have crazy sex in real, I enjoyed alot," jamaa alisevu no yake mwenyewe kwenye simu yake kwa jina la Mwana, baada ya kutoka job aliiacha simu na kwenda bafuni baada ya kwenda bafuni tu Mke kama kawa akaichukua baada ya kusoma msg hiyo toka kwa Mwana,alikimbilia kwa Mama mkwe huku akilia na kudai bora apewe taraka maana mme wake si mwaminifu huku, akiwa ameshika simu na kumwonyesha msg Mama mkwe , jamaa alikuwa bafuni alipotoka akakuta mtafaruku huo, baada ya kuhojiwa na Mama yake akawashangaza baada ya kuwaambia angalieni no ya simu ya mtu aliyetuma hiyo msg ni ya nani? wote walishikwa na Butwaaa kuona ni no yake mme wake mwenyewe, Ungekuwa wewe mwana JF ungemshauri nini huyu Mwanamke aliyekurupuka,,,,,?
 
Hadithi njoo,uongo njoo, Utam kolea!
 
ya kawaida hayo kabisa na ukiona mwanamke ambaye afuatili simu yako ujue ana lake jambo wanawake makini na wenye upendo na waume zao wanafuatililia sana nyendo za waume zao
 
Hakuna kitu kama hicho, mwanamke mwenye akili na anayejitambua hawezi kujisumbua kuchunguza simu ya mumewe.
 
Raha ya hadithi moto uwe karibu tena kipindi cha baridiiiiiiiiiiii.
 
raha ya hadithi uongo bwana sasa ukiwa ukweli sasa inakuwa habari/ taarifa ya habari.
 
mwehu huyo angekuta kitu ndani ya box angefanyaje , si angejiua huyo!
 
Na huyo mme wake kwann afanye hv kama anataka ndoa yk idumu?
 
Imekukuta wewe mwenyewe je ulifanyaje?????
 
huyo mwanamke mwehu anadai talaka kisa sms... kwenye mahusiano lazima kuwe na ushaidi usio na shaka ndio uchukue hatua.....
na akome nani alimwambia achunguze bata....
 
Aise simu ni balaa ila tu kwa hali ilivyo hatari ukaguzi wa simu ni lazima, tena si hiari ni lazima!! Wewe unaogopa nini simu yako kukaguliwa? Ukioa na kuolewa jua umeuza sehemu ya uhuru wako!!! Halafu simu eti hadi password, mara sijui nini!! Yaani hata mtoto akuombe kumpigia rafiki yake inabidi eti umsimamie ili sms ikiingia uthibiti!!!!! Hata watoto wanalelewa maisha ya kijambazi vile!!! Jambazi akiweka passoword si ajabu maama michoro yake dirty isijulikane, sasa wewe una ndoa au committed relationship halafu unaficha simu au kuwa mkali nayo!!! Alama ya kuuliza?????????????????/
 
ya kawaida hayo kabisa na ukiona mwanamke ambaye afuatili simu yako ujue ana lake jambo wanawake makini na wenye upendo na waume zao wanafuatililia sana nyendo za waume zao

utakua umerogwa cio bure..unadhan tabia ya mtu inaachka kwa kukagua cm yake? ndo mnavyodanganya we na mwenzako? ama kwel waarab wapemba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom