Siku nikiwa najisikia kugombana ndo napekua na huwa sikosi sababu y ugomvi...
Ila siku nikiamua amani itawale sishiki simu yake wala simruhusu kushika yangu....
Siku nikiwa najisikia kugombana ndo napekua na huwa sikosi sababu y ugomvi...
Ila siku nikiamua amani itawale sishiki simu yakewala simruhusu kushika yangu....
da sitakaa nisahau nilishika cm ya aliekua mchumba wangu nilitukanwa hakuna mfano.
naambiwa cm ina siri nzito sitakiwi kuigusa na hakuna mwanamke yeyote yule atakaekuja kushika cm ile.. dah nilitukanwa sitakuja kusahau mungu amsaidie tu huko aliko.
We masai dada wewe! Mna-share ile kitu namesa mensake, itakuwa simu! Kweli ndito mrembo. Ila jiandae kwa magonjwa ya mishipa damu, usimfuatilie alacho kuku, wala maji ya kumwagilia mchicha, utakufa kwa utapia mlo.