Dah... kuna mwenye hiyo dole gumba inayopiga mzigo aniuzie,
Mchicha tupa kuleee
Ndio maana yake.....Jamani je hata hizi Yutong mwendo mdundo nazo ni mabob yanoyotembea au.....?
Hizi nakumbuka ndo zina tabia hizo
Ndio maana yake.....
Mkuu umenikumbusha mbali sana,hiyo siemen ndo ilikuwa simu yangu ya kwanza kumiliki
Over heating
mpaka watu wafe ndo waTanzania tutaacha kununua michina.
Hizi nakumbuka ndo zina tabia hizo
Ni wachache sana ambao tunaweza kujibu swali hilo kwa ufasaha. Atasingizia kipato. Muulize kwenye harusi anachangia kiasi gani kwa mwaka?kama ulijua ni feki na ni yamchina kwa nini uliinunua?
Huawei za mars
Wanajanvi kilichonitokea leo sijaamini macho yangu nimeona simu yangu ya kichina ya nokia itoa moshi mfukoni jamaa yangu kaniambia, mwanangu uweweka fegi mfukoni hujanyunda vizuri nikawa nashangaa mfuko unatoa moshi kutoa naona simu imeandika maneno mekundu ya kichina nimeitupa na cjui imelipuka ama vip. HIZI BIDHAA FEK CHANZO CHAKE TANZANIA NI NIN?
Kweli tumetoka mbali,wakati huo kumiliki simu haikuwa mchezoMM nilikua namiliki hicho kitu kwenye red then nikaamia kwenye Hizo nokia mkonga sim zote zilikuwa hazitumii line kama hizi modem za CDMA.
Kipindi hicho mambo ni Mobitel au Tritel aisee
c 35 nimeikumbuka simu iliyotumbukia kwenye maji 2001Hizi nakumbuka ndo zina tabia hizo
Kweli tumetoka mbali,wakati huo kumiliki simu haikuwa mchezo
Sema ilikuwa ni anasa hasa kama ulikuwa unaishi uswazi kila ukipiga au kupigiwa unaongea kwa sauti kuu ili wajue unayo.
Sasa hivi ata vitoto vinamiliki cm za bei mbaya aiseee!!!
tunavyo sema za kichina hatumaanishi kila simu zinazo toka china lahasha, tunamaanisha zile ngoma zisizo katika kiwango madhubuti mfano zile za Singsung,Bluetooth,nokai and alike.