Simu ya mchepuko

Simu ya mchepuko

Nunua smartphone then download program moja inaitwa vault nikiboko, save no ya mchepuko kule, pic zke wife hataona, hta calls ikipigwa uspopokea wife hawez iona, pia unawez ificha hyo icon ya vault isionekane kbsa kwny menu ya sim ukhitaj kna no unakrik inatokea.
Mungu akiamua kukutetea na kumfichua muovu ata ufanye chini ya kapetii... Alikua na app na nlipata kutambua anayofanya tena kilaini bila nguvuuu kwahiyohiyo app.
 
Hawez ipata nina chemba kwenye gari nakoficha kondom pia hawez pajua


Shem siku zote ulikuwa unakataa nini sasa? Sawa, nitamwambia dada na nikikuona tu, wewe na mimi tunazichapa. Usimletee dadangu magonjwa ya hajabu, wale watoto wenu nani atawasomesha?
 
Jaman mwenzenu nimechoka kudakwa kila siku na msg za mchepuko!

Sasa naamua kuwa makini na nimeona nitafute kishikwambi kwa ajili ya mchepuko ambayo wife hataijua

Bajeti ni laki moja mwenye smartphone used iwe kwa hali nzuri aje dm aniuzie na kuokoa ndoa yangu
Tatizo huwi muwazi kwa michepuko,waambie kabisa kuwa umeoa,wape muda wa kuwasiliana na wewe mfano iwe mchana tuu,pia asianze na maneno ya kimapenzi,aandike habari kaka etc
 
Back
Top Bottom