Simu ya Kazi

Simu ya Kazi

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
Wadau nani anajua hii namba ya kampuni gani au shirika gani 00222774383 because ilinpigia nikiwa naoga badae nkipiga nambiwa nihakikishe no then nipige tena.

=========Updates=======

Nawashukuru wadau wote walionjulisha leo kua ile namba ni ya access bank, nilienda ofisini kwao saa sita leo nikajieleza mapokezi kuna mzee mmoja alinielekeza vizuri kua niende ghorofa ya 2 ila nilipofika nkajieleza kwa secretary alinjibu KIRAHISI kua wenzako washafanya interview asubuh sina msaada mwingne kwako.

Naomba HR YOYOTE ANJIBU MASWALI YAFUATAYO.

Mnapowambia secretary wenu wapigie watu simu ili waje interview mnawambia wapige mara moja tu basi, pia kwa nn mtu anapokua hapokei simu asipigiwe hata mmoja wa referees kwani kuna sehem zingne mtu hawezi kwenda na simu then then badae akipiga ile namba wahusika wanakua hawapokei kama ilivyonitokea jana.

Pia kwa nini wasitume hata email because kuna mtu masaa 2 hayapiti bila kuchek email zake.
 
Kwanini umesema "Simu ya kazi"? Maybe mtu aliamua tu kukucall kwa namba ya ttcl akupe hi?
Ok, ila wengi hatujazoea kupigiwa simu za aina hiyo that's why tukipigiwa tunaamini ni kazi tu.

Je, ume apply wapi na wapi hiv karibuni? Jaribu kucheki details za huko uliko apply uone contacts zao.
 
Pole sana imekula kwako. best wishes huko uendako.
 
Hizo ni namba za kampuni ya mafuta na gas...iko pande za......jaribu kufuatilia
 
duhh i know how it feels, ila itakuwa ngumu kweli kuitambua kama vp we ipotezee tu chukulia tu kama mtu kakosea namba!!! pole sana...
 
Hio namba inapigika mbona? Toa hio zero au kama huna credit Ngoja niwapigie halafu nakujulisha
 
Tayari nimewapigia Simu ni Access Bank- Makumbusho. Kama bado huamini basi!!! Ondoa zero moja halafu uipige
 
wadau nani anajua hii namba ya kampuni gani au shirika gani 00222774383 bz ilinpigia nkiwa naoga badae nkipiga nambiwa nihakikishe no then nipige tena

Hiyo namba ya Barrick Gold.
 
Nawashukuru wadau wote walionjulisha leo kua ile namba ni ya access bank, nilienda ofisini kwao saa sita leo nikajieleza mapokezi kuna mzee mmoja alinielekeza vizuri kua niende ghorofa ya 2 ila nilipofika nkajieleza kwa secretary alinjibu KIRAHISI kua wenzako washafanya interview asubuh sina msaada mwingne kwako.

Naomba HR YOYOTE ANJIBU MASWALI YAFUATAYO.

Mnapowambia secretary wenu wapigie watu simu ili waje interview mnawambia wapige mara moja tu basi, pia kwa nn mtu anapokua hapokei simu asipigiwe hata mmoja wa referees kwani kuna sehem zingne mtu hawezi kwenda na simu then then badae akipiga ile namba wahusika wanakua hawapokei kama ilivyonitokea jana.

Pia kwa nini wasitume hata email because kuna mtu masaa 2 hayapiti bila kuchek email zake.
 
kama unaomba ajira usimwe muoga kupokea simu,hapo jilaumu mwenyewe,,sio kwamba u missed a call,u dd ans it

nlikua naona mchango wako ni wa maana ila sasa unachangia pointless nshasema cm ikiita nlikua naoga na ilikua 16:50 badae nlivyopiga haikupokelewa ila ww unalazimisha nliogopa kupokea acha kuchangia kitu usichokielewa
 
achana nae huyo haelewi hata,pole sana na hao inamaana intervw zao ndio za kushtukiza hivo,na hilo suala la cm kweli mara nyingi ukiwapigia hawapokei ..bora wawe wanapiga na email wanatuma angalau.lakini kumpigia mtu mara moja tu sio haki inamana mtu ukiwa mbali ile unafika karibu na simu kupokea ikikata ndio bc tena dah kweli ni ishuu!
 
Shukuru Mungu hawakuita, maana usingedumu kwenye kazi yenyewe Yaani ACCESS Bank watu hawadumu kabisa

thanx eli kwa kuntia moyo ila hii ni cm ya pili napishana nayo last year nlifanya oral int. ENRICH AFRICA nkapigiwa bada ya two month nje nfanye negotiation ya mshahara na manager fulani ila nlipishana na hyo cm nligundua ni wao baada ya cku 2 wakanambia nafasi ina mtu
 
Back
Top Bottom