Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,381
- 18,166
Naomba kujua tatizo la simu yangu. Huawei Y 530. Inanigomea kuwaka. Na kila ninapoiwasha kuna maelezo inaniletea. Naamini hapa jukwaani kuna wataalamu au wabobez wa teknolojia waliowahi kukutana na tatizo hili au kama hili. Naombeni msaada wenu. Niweze kutatua shida hii.