Ok.Sawa
Najaribu now
Nitaleta mrejesho
[emoji276] Achana na habari za kuiflash simu yako fanya inachokuelezaVipi nkitaka kui flash kabisa. Ni sahihi ?
Bado sjafanikiwa bossZima SIMU yako. Alafu washa ukiwa umeshika kitufe cha kuongea sauti pamoja Na kitufe cha kuwashia Kwa pamoja. Fuatilia magizo yaliyotokea wakati ukiwasha. Kumbuka kutoa line kwanye SIMU.
Kipi hicho[emoji276] Achana na habari za kuiflash simu yako fanya inachokueleza
Please connect ur usb cable and open hi suite je umepakua hi suite ukaweka kwa pc yako ? je umeinstall drivers kwa pc yako then ukaconnect nakufanya inachokueleza ?Kipi hicho
Nmeshaiweka hio hisuite. Ila nashndwa ku connect na simuPlease connect ur usb cable and open hi suite je umepakua hi suite ukaweka kwa pc yako ? je umeinstall drivers kwa pc yako then ukaconnect nakufanya inachokueleza ?
Wewe ni fundi wa simu kweli ?Nmeshaiweka hio hisuite. Ila nashndwa ku connect na simu
HapanaWewe ni fundi wa simu kweli ?
Inaleta maandishi gani?Naomba kujua tatizo la simu yangu. Huawei Y 530. Inanigomea kuwaka. Na kila ninapoiwasha kuna maelezo inaniletea. Naamini hapa jukwaani kuna wataalamu au wabobez wa teknolojia waliowahi kukutana na tatizo hili au kama hili. Naombeni msaada wenu. Niweze kutatua shida hii.
![]()
Driver hii hapa kwa ajili ya simu yako lkn hakikisha unagoogle how to install quallcom driver kwa pc yako http://dl3.easy-firmware.com/download.php?ds=1598133xtc8b47ab55203786ab9f7f7070d30174f13da6ea50&r=1Hapana
Hayo yaliyopo kwenye screenInaleta maandishi gani?
Asante bossDriver hii hapa kwa ajili ya simu yako lkn hakikisha unagoogle how to install quallcom driver kwa pc yako http://dl3.easy-firmware.com/download.php?ds=1598133xtc8b47ab55203786ab9f7f7070d30174f13da6ea50&r=1
Baada ya ku flash ilikaa sawa ?Mkuu mm yangu nilichajia powerbank hizi za hovyo hovyo imepiga shoti ...ukiweka chaji inaingia ila haijai...nikajifanya kwenda kwa fundi... siku moja mafundi wa3 wanashindwa sasa hizo bisibisi za kutwa nzima simu imekua kimeo vibaya mno.... mpaka nmeiflash
pole sana mkuu ila usikurupuke kwenda kuitia bisibisi
tangu juzi batani ya kupandishia sauti imetumbukia ndani. nikiwasha inaniambia No command, nmehangaika weeh kuiflash wapi ,nmerudi kwa fundi kapandisha hio keyboard imejiflash yenyewe nmeanza upya ,Haijazingua mpaka sasa ila najihesabia sina simuBaada ya ku flash ilikaa sawa ?