Simu ya blackberry kutumika kama moderm kwenye laptop

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Heshima kwenu wakuu wote wa JF. Napenda kufahamu endapo kuna uwezekano wa simu ya blackberry kutumika kama external modem.
Mwenye kujua tafadhali atujuze ili nasi tupate ujuzi.
Thanks!
 
Inawezekanaa nenda vodacom mlimani city dar watakupa software ila inalkata pesa tofauti na ulizo sajili BB kwa mwezi!!!
 
ushauri: kama unamiliki blackberry basi modem zinaanzia 25000 elfu tu. blackbery bei yake ni zaidi ya mara kumi ya bei ya modem.

life was much easier when apple and blackberry were just fruits.
 
Heshima kwenu wakuu wote wa JF. Napenda kufahamu endapo kuna uwezekano wa simu ya blackberry kutumika kama external modem.
Mwenye kujua tafadhali atujuze ili nasi tupate ujuzi.
Thanks!
Inawezekana kama uko kwenye mpango wa BES na sio BIS
 
Inawezekana ila utaliwa sana pesa halafu itz not gud kama unataka simu yako ikae muda mrefu coz ukitumia kwa muda mrefu kama modem ic za moto zinapata sana moto madhara yake zinaweza kuungua kupatikana kwake ni ishu.
 
Naona kelele ni nyingi lakini hakuna alietoa jibu linaloeleweka...mimi ni mtumiaji wa blackberry kama modem...maelezo yangu yapo bounded na model ya bold 9700 ambayo ninabahati ya kuingia internet kwa kutumia browser ya sim bila ile data plan ya blackberry unless kwa special applications zilizo kuwa designed na research in motion kama twitter na facebook ndizo zinazoitaji data plan...

Jinsi ya kutumia blackberry kama modem inabidi uwe na blackberry desktop softiware installed kwenye computer yako..jambo litakalo fata ni kuactivate dialing up connection kwenye setting za computer yako na kisha connect ur mobile na computer yako kwa kutumia usb cable na utaweza ukapata access na internet wakati blackberry desktop software inarun kwenye background
 
Back
Top Bottom