Simu ya Al Shabaab

Simu ya Al Shabaab

Status
Not open for further replies.

buluwaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
207
Reaction score
45
Mtu kanitumia ujmbe Al shabaab anaetumia number hii +252 99 355 086 alipiga simu usiku wa 25 July Tanzania kutafuta wafuasi wa dini inayokataza wanawake kuonesha viganja vya mikono na nywele.

Hii namba ya simu nimeiweka hapa kwa kuwa nimepata taarifa usalama siku hizi wameanza kujituma. Haya kazi hiyo hapo....+252 99 355 086 anatafuta wafuasi dini inayozuiwia uhuru wa kina mama. Nadhani hili linahatarisha usalama wa nchi

Kazi kwenu....
 
Viganja vya mikono na nywele?
Naona hiyo dini haijafika huku kwetu.
 
Ujumbe gani uliyotumiwa?

Ulipigiwa simu au ulitumiwa ujumbe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom