Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,694
- 11,291
Mkuu una maneno mengi.We taja bei iliyokuwa inauzwa then utoe angalizo kuwa kwa sasa hazipo au hazipatikani.Aya wee mshindi tumia basi hiyo note 2. Wenzako wanaishi dunia ya sasa wewe unaishi zama za mawe. Ni nini maana ya certified duka la Samsung? Walikuonyesha certificate ambayo wamepewa na hao Samsung?