Simu Samsung note 1 original inauzwa bei gani?

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Naomba kuuliza kwa mtu anaejua.

Simu za Samsung note 1 zinauzwa bei gani dukani kwa sasa?
Naomba msaada kwa anayejua.
 
Note 1 ilishaondolewa sokoni muda mrefu sana. Na hata ukiipata expiration yake itakua tayar. Note 1, 2, 3, hazipo hata note 4 pia inaondolewa. Kwa sasa kuna note 5
 
Ongea kwa facts rafiki na sio hisia au kudhani! Ameuliza bei ya hiyo simu dukani! Hujamjibu na kuja na hoja ya kuondolewa sokoni! Unamaanisha ukienda duka la Samsung hukuti note 1 hadi 4! Nimenunua note 2 miezi 6 sasa kwenye duka la Samsung na ninaitumia hadi sasa, haijaexpire as u claimed. Nafikiri ungejibu swali lake kwa kumsaidia bei ingekuwa umemsaidia.
 
Kila kitu mnataka hoja. Hata kama unakula mavi mtu akakushtua ni mavi unakula bado utasema leta hoja kuwa haya ni mavi. Aliyeuliza swali akitaka ufafanuzi nitamjibu ila sio wewe unaniletea ligi sijui ni ya daraja la ngapi
 
Au unafikiri haya makampuni ya simu yanavyotoa simu moja baada ya nyingine ni wajinga? Unatumia note 2 wakati kwa sasa inasubiriwa note 6
 
Kinachomata ni hela ya mfukoni na MTU ana exposure gan kwenye matumiz ya simu, utumie note 6 utajulikana na wajanja wenzio wanazijua cm lakini wengine mradi INA wassap anapeta.
 
Kila kitu mnataka hoja. Hata kama unakula mavi mtu akakushtua ni mavi unakula bado utasema leta hoja kuwa haya ni mavi. Aliyeuliza swali akitaka ufafanuzi nitamjibu ila sio wewe unaniletea ligi sijui ni ya daraja la ngapi
Usiwe mwepesi kuongea lugha zisizo na hekima! Kimuingiacho mtu sio kimtiacho unajisi bali kimtokacho! Tazama umekimbilia kusema MAVI! Kuna uhusiano gani kati ya Note 1 na Mavi! Mtoa hoja ameuliza bei ya note 1 dukani! Ungejibu hilo kwanza badala ya kuanza kuandika mambo yanayohusiana na mavi!

Umesema hazipo kwenye Soko? Soko ni nini kwanza? Kuacha kutengenezwa na kutokuwepo sokoni ni vitu viwili tofauti rafiki! Tusikariri!

Nenda kwenye Certified duka la Samsung na uulize kama huyozikuta hizo simu! Sasa wamezitoa wapi! Ninaongea kwa uhalisia kwa kuwa ninatumia Note 2 ambayo nimeinunua kwenye Certified duka la Samsung. Nathani ungemsaidia bei ya hicho kifaa na maelezo mengine kama ungehisi yanahitajika.
 
Aya wee mshindi tumia basi hiyo note 2. Wenzako wanaishi dunia ya sasa wewe unaishi zama za mawe. Ni nini maana ya certified duka la Samsung? Walikuonyesha certificate ambayo wamepewa na hao Samsung?
 
Vitu tunatumia kutokana na uwezo wa muhitaji hakuna expire katika hivyo vitu...kwa nini mnakimbilia kwenda na wakati katika simu tuu wakati vitu vingine tunatumia ovyo kama magari, Tv na radio za ajabuajabu tuu...
 
Aya wee mshindi tumia basi hiyo note 2. Wenzako wanaishi dunia ya sasa wewe unaishi zama za mawe. Ni nini maana ya certified duka la Samsung? Walikuonyesha certificate ambayo wamepewa na hao Samsung?
We!! tulia acha unyumbu basi, jibu ulichoulizwa, hivi ulipata ngapi darasani, huko St. Kayumba
 
Du haya nimeuliza swali hamnijibu mmeishia kulumbana , lkn nlihitaji msaada
Mkuu usinunue note 1 au 2 au 3 koz hizo simu ni simu za siku nyingi na hazitengenezwi tena kiwandani. Vile vile ufanyaji kazi wake ulikua una ufanisi kipindi zilipotengenezwa. Kwa kipindi hiki haziendani na technology ya sasa,, kila kitu kimebadilika kwa sasa software zilizopo zinahitaji simu yenye uwezo mkubwa sana. Hata operating yake( android ) inatakiwa iwe ya sasa kuanzia lollipop na kuendelea. Lakini vinginevyo utanunua hiyo note 1 malalamiko hayatakwisha kila siku utalalamika betri haikai kabisa, simu inakua nzito na n.k
 
Achana na Note 1,sikiliz ushauri unaopewa japo kuna malumbano yameingilia kati.Kuna 4G LTE na Android Lolpop au Mashmalow,vyote hivyo ni katika kukufanya uwe na mawasiliano bora kabisa.Tafuta matoleo ya kuanzia 2015 hutajuta.Usikariri
 
Back
Top Bottom