Kama inavyosema iko network locked, anayeweza ku-unlock kwa kawaida ni network provider aliyeiuza, hiyo tena ni Windows Phone simu zilizoachwa kutengenezwa miaka zaidi ya 6 iliyopita so chance za kupata fundi ni karibia zero na hata provider mwenyewe anaweza akawa hana tena uwezo wa kuunlock.