Hapa hatujibu km hujajieleza vizuriNimekua nikitumia simu yangu kwa muda wa miezi 11 sasa sija encounter any issue...Ila leo suddenly nimepata message toka Airtel kwamba simu yangu sio halali itafungwa within two days...Nimejaribu kuangalia imei yangu then nkaitrace through TCRA, wenyewe wakaniletea model namba ile ile ambayo ina correspond na simu yangu ila wakaniambia simu yangu imefungiwa wasiliana na mtoa huduma wako (BUT BADO SIMU YANGU INAFANYA KAZI)
Ningependa mtu anipe muongozo what is going on coz sielewi kabisa
PUMBA...Hapa hatujibu km hujajieleza vizuri
Itakuwa ya wizi sio halaliNimekua nikitumia simu yangu kwa muda wa miezi 11 sasa sija encounter any issue...Ila leo suddenly nimepata message toka Airtel kwamba simu yangu sio halali itafungwa within two days...Nimejaribu kuangalia imei yangu then nkaitrace through TCRA, wenyewe wakaniletea model namba ile ile ambayo ina correspond na simu yangu ila wakaniambia simu yangu imefungiwa wasiliana na mtoa huduma wako (BUT BADO SIMU YANGU INAFANYA KAZI)
Ningependa mtu anipe muongozo what is going on coz sielewi kabisa
wewe ndiye unashida unataka tukuulize simu aina gani hapo nani pumbaPUMBA...
Sijanunua hapa Bongo niliiagiza nje na ni karibia mwaka sasa tokea nianze kuitumiaItakuwa ya wizi sio halali
Nakujibu tena......PUMBA.wewe ndiye unashida unataka tukuulize simu aina gani hapo nani pumba
SijakuelewaLile zoezi la kuzifungia simu walisema ni kama la uhakiki wa kina bashite yani kila ukinasa inakula kwako!..si ajabu unaelekea nasa na wewe kwenye mtambo wao ndo maana inakuletea tahadhari mapema!..
Ndio shida inapoanzia hapo sasa..Labda huko nje ya nchi waliifanyia makeke mkuuSijanunua hapa Bongo niliiagiza nje na ni karibia mwaka sasa tokea nianze kuitumia
mitambo ya tcra ipo wazi inaendelea hakiki simu fake hadi leo,yawezekana simu hiyo nayo imeonekana feki pia..Sijakuelewa