Simu kushika moto kama nikitumia internet

Hili jukwaa sikuhizi limekuwa la kipuuzi mno!no wonder tech gurus wengi sikuhizi hawajichoshi kujaribu kuleta utatuzi wa mambo!jamani majukwaa yalijingajinga si yapo? nendeni kule au nendeni kwenye social media zingine zinazobeba bango la upuuzi!kwa mambo yenu watu sikuhizi tunawafuata wajuzi inbox kuwakimbia vinyangarika nyie!
 
Eeeh umesomeka
 
Back
Top Bottom