Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,696
A.Alaykum
Kwa kuwasaidia, ikiwa mtu hataki hizi picha za humu ndani zinazotumwa zisiingie Gallery kujaza gallery.
Nenda kwenye option juu kwenye jina la group mkono wa kulia, utaona dots 3, ukibonyeza hizo dots itakujia group info bonyeza neno group info itakujia.
*-Mute notification*
*-Custom notification..*
*-Media visibility*
Bonyeza hiyo *Media Visibility..*
Itakujia
*Default*
*YES*
*NO*
BONYEZA HIYO *NO*
ITAKUWA PICHA ZOTE NA VIDEO ZINABAKI KWENYE GROUP TU.HAZIINGII GALLERY KUJAZA SIMU YAKO.