Simu kali zimesimama ile mbayaa bei sawa sawa na buree

Simu kali zimesimama ile mbayaa bei sawa sawa na buree

Mrs S

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
286
Reaction score
90
Aina ni samsung galaxy s7 edger,lg x400,samsung galaxy core advance,samsung galaxy grand 2,samsung galaxy grand max na huawei na iphone 6 plus karibuni
20171221_100720.jpg
20171221_100711.jpg
20171218_102254.jpg
20171218_102249.jpg
20171218_102113.jpg
20171218_102048.jpg
20171218_101915.jpg
20171218_101853.jpg
20171218_101803.jpg
20171218_100950.jpg
20171218_100934.jpg
 
Umefurahi kuposti makasha ya simu eee, watu wanauliza bei wewe kimyaaa.
 
20171222_095825.jpg

S6 plain 64gb brand new
Unbox mwenyewe
Free delivery
1 year Warranty
20171222_095813.jpg
 
Bei ni kujipimia...nataka hiyo Samsung yenye kioo kilichojikunja..curved...nina 100k..upo wap niijie?
 
Sasa kuna faida gani utaipata kama bei ni sawa na bure?au umekwepa kulipia ushuru?
 
Jamiiforums Kila Siku Watu Wanasisitizwa Kuweka Sifa Za Bidhaa Yako Hapo Hapo Bei Elekezi Ikiwezekana Unaweza Kuweka Bei Kikomo


Sasa Watu Wanauliza Bei Unawapa Number Yako Ya Kazi Gani Sasa Ama Wewe Ni Kitomari?
Yaani Mtu Ahangaike Kukupigia Wakati Japo Rahisi Kwenye Thread Ungetaja Bei
 
Back
Top Bottom