Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,235
- 4,382
Kasema anataka simu kwa ajili ya kupiga picha bidhaa zake na kupost kwenye mitandao ya kijamiiWe ni jinsia gani na una miaka mingapi?
Maana haya mambo ya simu yenye kamera nzuri ni ya wadada na wale jamaa walamba lipsi.
Mwanaume miliki simu ya kawaida ya laki 2.
Am sorry kwa kukupa vidonge vyako!
ππππ
Sasa hizo takataka unafananisha na iPhone 17 Pro Max? Hayo ma infinix yaliyochangamka?Dunia nzima inajua kuna simu nyingi tu nzuri za hiyo budget, kwamba Samsung Galaxy S24 FE ni simu mbaya? Au Xiaomi 15T ni simu mbaya? Unafuatilia hata review za simu wewe?
Hakuna anayefananisha na iPhone 17 Pro Max. Ni kwamba huwezi kupata iPhone 17 Pro Max kwa milioni 1.3Sasa hizo takataka unafananisha na iPhone 17 Pro Max? Hayo ma infinix yaliyochangamka?
Endeleeni na Mjadala wenu Iβm outHakuna anayefananisha na iPhone 17 Pro Max. Ni kwamba huwezi kupata iPhone 17 Pro Max kwa milioni 1.3
Na ili simu iwe na kamera kali hakuna ulazima wa kuifikia iPhone 17 Pro Max. Mleta mada anataka simu yenye kamera nzuri ya milioni 1.3. Na zipo nyingi tu, ila sio iPhone 17 Pro Max, hiyo ni flagship kwa hiyo ni more expensive
No one caresEndeleeni na Mjadala wenu Iβm out
Oooh ah!. Nilikuwa sijamaliza kumsomaKasema anataka simu kwa ajili ya kupiga picha bidhaa zake na kupost kwenye mitandao ya kijamii
Sasa ukipost bidhaa, picha zake low quality utavutia vipi wateja?
Biashara ya salon ya kike inalipa mkuu??Mambo vipi wadau!
Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii.
Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina umuhim mkubwa.
Budget yangu ni 1.3M. So unapochangia naomba unitajie kulingana na hiyo budget.
Karibuni
We ni jinsia gani na una miaka mingapi?
Maana haya mambo ya simu yenye kamera nzuri ni ya wadada na wale jamaa walamba lipsi.
Mwanaume miliki simu ya kawaida ya laki 2.
Am sorry kwa kukupa vidonge vyako!
πππmbona unakurupuka kama umetoka usingizin. Umesoma maelezo ya uzi?
asante kwa maelezo mkuuKama video = iPhone
Kama picha = Pixel
Kama vyote (balanced) = Samsung
Kwa budget ya 1.3m unapata iPhone 15 au 16 ukibahatisha au 14 Pro uhakika.
Kwa iPhone chukua size kubwa utakayopata, storage zinajaa chap mwenyewe utashangaa.
Kwa bajeti yako tafuta Google pixel 9 XLMambo vipi wadau!
Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii.
Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina umuhim mkubwa.
Budget yangu ni 1.3M. So unapochangia naomba unitajie kulingana na hiyo budget.
Karibuni
iPhone 15 na 16 kwa 1.3million???? Labda 14 uko nchi gani we chizi?Kama video = iPhone
Kama picha = Pixel
Kama vyote (balanced) = Samsung
Kwa budget ya 1.3m unapata iPhone 15 au 16 ukibahatisha au 14 Pro uhakika.
Kwa iPhone chukua size kubwa utakayopata, storage zinajaa chap mwenyewe utashangaa.
Daah unaita watu machizi kwa kujua kutaja bei ya simu tu kazi ipo..
Kuna watu ni wajinga sana humu JFDaah unaita watu machizi kwa kujua kutaja bei ya simu tu kazi ipo..
Wap inapatikana kwa 1.2mNunua Xiaomi 15T au 15T Pro ni around 1.2M
Ni one of the best camera phones in your budget
View attachment 3530973View attachment 3530974View attachment 3530975
Mwanaume unampaje mwanaume mwenzako vidonge vyake, huoni hiyo statement imekaa kiupinde upinde?We ni jinsia gani na una miaka mingapi?
Maana haya mambo ya simu yenye kamera nzuri ni ya wadada na wale jamaa walamba lipsi.
Mwanaume miliki simu ya kawaida ya laki 2.
Am sorry kwa kukupa vidonge vyako!
ππππ