jblus
Member
- Nov 27, 2024
- 22
- 57
Mambo vipi wadau!
Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii.
Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina umuhim mkubwa.
Budget yangu ni 1.3M. So unapochangia naomba unitajie kulingana na hiyo budget.
Karibuni