Simu ipi ya tecno iliyo bora, naomba ushauri

Techno 6 plus "phanthom" ndiyo kila kitu. Iko nzuri kuliko hizo Samsung munazozizifia!!!
Uandishi wako umekutambulisha vyema, nakuomba usiache kutumia TECNO [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Yaani unataka iweka meza moja simu yenye SoC za MediaTek na Jiwe lenye Qualcomm Snapdragon processors?
Mama [HASHTAG]#Kajiandae[/HASHTAG]
 
Kuna watu humu wanaponda tecno wakati hawajawahi kuzitumia sasa nina uzoefu wa Samsung galaxy na tecno smart, 1. h6 tecno iko poa sana nilibadili kwa kuongeza ukubwa wa memory tuu kwa mtumiaji wa kawaida utaifurahia sana, 2. boom J8 ndo naitumia sasa kwakweli Samsung wataelemewa muda si mwingi nailinganisha hii j8 saw a galaxy a5 lakini boom hii iko vyema kuanzia kukaa na charge mpaka ubora wake bei ni 320000 tuu wakati galaxy A5 nililipa 550000.
 
Tuwekee na bei mkuu kama unafahamu c5,7 na H6.
 
Kama unapenda yenye storage kubwa chukua boom 5 utaipata chini ya lak 2.Ina 16 GB sawa na C 8 au J7.Lakini kama unapenda sim yenye kamera safi lakini storage ya kawaida chukua Common 5 au 8.
Chini ya laki mbili bei ya dukani? Vipi muda wa kukaa na charge.
 
Ninacho taaka kukwambia ubora wa simu cha kwanza ni chaji maana hivyo Najua hakuna atale amini na wengi hawajui nunua Techno L8 achana na h7 au c9 usumbufu tuu.Ukubwa wa betri la L8 c9 inaingia Mara 2
Bei yake vp
 
Samsung ni plastick phone na techno anatumia chuma kwenye kuunda ,namaanisha tecnho mpya ni nzuri na imara kama zilivyo htc,q10 ,na iphone ila shida yak kamera tu hawajapata fundi mzuri wa kutoa picha zisizo na chenga.
 
Wanajamii naomba mtu mwenye ujuzi na simu anijuze. nimejichangachanga kidogo nina 200,000/= hivyo nataka ninunue simu yenye ubora mzuri. nahitaji TECNO je ipi nzuri kwa pesa hiyo au nikiongeza kidogo 250,000/=
Hata usiumize kichwa kanunue tacno kuanzia toleo la techno c5 mpk techno n8 zote ni nzuri na ndy smartphone inayovumilia maisha ya mtanzania na tecno c5 huwezi kupata mpya labda used au kwenye duka lisilokuwaga na wateja ila ni nzuri sana.
 
LAST IDEA:- NUNUA TECNO W4../ UTAFURAHIA MPAKA BASI,NEVER TURN YOUR WILL.../ ZINGINE TAYARISHA FIRE EXTINGUISHER...
 
Nitapata wapi tecno R7....
SIMU HII SAMSUNG S1,2,3, NA 4 ZOTE HAZITII MGUU HAPA.DADEKIII.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…