Simu ipi nitanunua bila kujutia !?


S4 clone ni nini mkuu
 
Mkuu kwani huyo Kiranga ni demu au mlumendago ??
Kama ni manzi mi sishangai ndivo walivyo hao!!
Kuna siku alishawahi kukomaa mwanzo mwisho kwamba hakuna Mungu,yaani ilibibidi Mods watumie busara na kuufunga uzi ule
Kweli Mungu kaumba watu wa aina nyingi sana !!
 

Mods waliona Jf yaweza kublokiwa isivuke kimo cha mwanadamu
 
Nakushaur kanunue HTC one (m8) broo ipo vzur mno utainjoy fastes browser hat charge pia inahfadhiw kwa sku mbl had tatu broo chukua hyo then utasmulia mwnyw vtu vyake
 
mbongo uko tayari kukaa mwaka mzima unatafuta hela ununue simu ili ulingishie raia wakuone na wewe na simu kali... hahaha! em fikiria business sio simu, hela unatafuta mwaka, hiyo hela fanyia la muhimu huku simu tumia ya kawaida tu.. simu za milioni hizi achia wenye nazo, wewe sasa hivi huna, piga kwanza hela, laki nane hiyo inaweza ikawa milioni tatu.. utazinunua tu simu unazotaka baadaye ukishajipanga hata pre-order ukitaka kabla hzijatoka
 

Acha utani mkuu..mwenzio anamaanisha na anachosema.
 
Last edited by a moderator:
Jamani na mie nauliza kati ya LG na HTC ipi bora. Sitaki Samsung wala Huwawei...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…