Simu ipi ni nzuri?

Chief-Mkwawa nini maoni/mawazo yako kuhusu iPhone 6s? Nahitaji kuinunua hiyo kakangu.
umewahi tumia iphone kabla? kama ndio basi iphone 6s ni best na processor yake sasa hivi ndio nzuri kushinda simu zote.

kama hujawahi tumia iphone kabla itabidi uangalie limitation zake sababu ukitumia iphone kuna vitu inabidi ujifunze kuishi navyo
 
Chief-Mkwawa nimewahi kutumia 3G,3GS,4,4s,5 na 5s baada ya hapo nikahamia android HTC M8 najiona nimekosa vitu fulani hivi ndo najikongoja nirudi apple tena.
 
Chief-Mkwawa nimewahi kutumia 3G,3GS,4,4s,5 na 5s baada ya hapo nikahamia android HTC M8 najiona nimekosa vitu fulani hivi ndo najikongoja nirudi apple tena.

sababu hata 6 hujatumia then 6s utaona mabadiliko makubwa kama
-ios 9, sasa hivi kuna operating system mpya yenye feature mpya kama vile kubadili keyboard, multitasking nk
-kioo cha 6s ni kikubwa kidogo compare na 5s
-best processor sasa hivi ni A9 ambayo ipo ndani ya 6s
-best storage (internal memory) ya simu ipo ndani ya 6s, hii itafanya simu iwe smooth sana
 
wakuu mimi nataka kuchukua iphone 5c hii iko vipi??
 
Msaada,na huawei hapa inatumia line ya tigo,nafanyaje iweze kutumia line zote?
 
achana nayo haina maana ni bora uwe na 5 kuliko 5c.
na internal memory yake ya 8gb(free 5 or 4gb) bila memory card itakusumbua, kuiupdate tu ni shughuli.
mkuu chief unaposema haina maana unamaanisha haifai kabisa au tatizo n hio storage tu????
 
mkuu chief unaposema haina maana unamaanisha haifai kabisa au tatizo n hio storage tu????
storage yah,

haina maana sababu hio simu specs zake ni kama iphone 5, na iphone 5 unaipata bei rahisi zaidi ya 5c so hakuna maana kuspend hela nyingi kununua simu dhaifu wakati unaweza pata nzuri zaidi kwa bei ya chini.
 
Shukran Mkuu ,
Nimekukubali uko vizuri sana.
 
storage yah,

haina maana sababu hio simu specs zake ni kama iphone 5, na iphone 5 unaipata bei rahisi zaidi ya 5c so hakuna maana kuspend hela nyingi kununua simu dhaifu wakati unaweza pata nzuri zaidi kwa bei ya chini.
Mkuu Simu za SONYXPERIA vip nichukue aina gani ndio nzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…