GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,124
- 2,271
Habari ya majukumu wanajamvi. Samahani kuna dogo anasimu mbili na anataka kuuza moja. Kanipmba ushauri lakini mimi sina ujuzi kuhusu ipi ni simu nzuri. Hizi simu zina miezi 2 tangu apewe kama zawadi.
Simu ya kwanza ni Tecno wx3 na Samsung galaxy grand prime plus. Naombeni mnisaidie
Simu ya kwanza ni Tecno wx3 na Samsung galaxy grand prime plus. Naombeni mnisaidie