Sasa simu ya Laki 3 ndugu si hela yote itaishia huko
Lakini ni vigumu pia kuitumia yaani mnakosa wote-aliyeibiwa na anayenunua. Anapata mwizi tu ikiwa atapata mnunuzi mjinga asiye makini la sivyo hana kwa kuuza. Hata Android siku hizi bila taarifa za mnunuzi wa kwanza huwezi kuifungua.
Nashangaa wanaoendelea kuiba simu siku hizi labda uibe vitochi.
We ukiibiwa simu badilisha password kwenye Emali yako basi mnakosa wote
Kwamba "hawadeal na simu za bei rahisi"Polisi wanafuatilia na wana uwezo wa kurudisha simu kama una imei na ushahidi kama risiti ama boksi la simu kuwa hio simu ilioibiwa ni yako.
Sema mara nyingi hawadeal na simu za bei rahisi, ukiwa na iphone ama galaxy S/note wanakusaidia ukiwa na hela ya mafuta.
Tena inatoka hadi kwa mikono baadhi ya hizo frp [emoji23][emoji23] sema kwa makampuni serious kama Samsung, Oppo, Xiaomi, One+ FRP yake kutoa kidogo mwizi lazima ale msoto kama sio mpunga kumtoka wa kutoa kwa Tools maalumu... Ki ukweli hiyo ni security ya kitoto sana.Frp hio security ya Android ni danganya toto tu inatoka kirahisi.
No comment mkuu ila i bet hela ya mafuta ilihusika.Kwamba "hawadeal na simu za bei rahisi"
Kwa hilo sio kweli, kuna jamaa yangu alikuwa na Tecno Camon na alipeleka risiti na IMEI number aliipata simu
Hapo yenye security kali ni oppo tu.Tena inatoka hadi kwa mikono baadhi ya hizo frp [emoji23][emoji23] sema kwa makampuni serious kama Samsung, Oppo, Xiaomi, One+ FRP yake kutoa kidogo mwizi lazima ale msoto kama sio mpunga kumtoka wa kutoa kwa Tools maalumu... Ki ukweli hiyo ni security ya kitoto sana.
Tecno na Viwa..[emoji23]Tena inatoka hadi kwa mikono baadhi ya hizo frp [emoji23][emoji23] sema kwa makampuni serious kama Samsung, Oppo, Xiaomi, One+ FRP yake kutoa kidogo mwizi lazima ale msoto kama sio mpunga kumtoka wa kutoa kwa Tools maalumu... Ki ukweli hiyo ni security ya kitoto sana.
Haujakosea nduguNo comment mkuu ila i bet hela ya mafuta ilihusika.
Siku hizi zinapatikana na ukimpata aliyeuziwa au kuiba wanamwambia akurudishie gharama zako zote. Nimeshuhudiawatu wawili wakipata simu zao na gharama kurudishiwamambo ni mengi mzee sio thaman ya simu tuu, pia inawezekana kuna vitu unatafuta